Naomba updates za PPRA(PUBLIC PROCUREMENT AUTHORITY) ..Walitangaza nafas za kaz mwaka jana mwishon..lakin hadi Leo kimya.mwenye kujua lolote naomba anijuze.asanteni.
Simu ya startimes yenye king'amuz(yaan unaweza angalia tv chanel za startimes Bure).ni android ina watsapp,camera,Bluetooth,touch screen,fm radio and WiFi....bei 80,000/=tsh..maelewano yapo.guarantee 1year.....ni pm.karibuni!
Simu ya startimes inauzwa...ni android.touch screen 3.5 inch.ina application ya digital tv(unaangalia tv bila kulipia),Bluetooth.fm radio.camera,WiFi,memory card 4gb.1year guarantee..bei sh.80,000/=....ipo Dar..ni pm unaletewa.
Natafuta rafiki wa kike,sichagui dini wala kabila,awe na umri kuanzia miaka 27-50,(matured lady),elimu yoyote,awe anajiheshim.........mimi ni mwanaume 28yrs,mrefu,mweus,muajiriwa,,,,,mambo mengne tutafahamiana zaidi,,,ni pm!...thanks.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.