Search results

  1. N

    Mauaji Nyororo - Trivia Question - Michael Kamuhanda yupo picha zote mbili?

    Mungu irehemu Tanzania, utuhurumie . Warehemu na hao walio na nafasi ambazo wanageuza kuzitumia vibaya,utu umetoweka,watanzania imefika mahali utashi hatuna,lakini utu pia umetoweka. Mungu irehemu Tanzania ,utuponye. It is against humanity.
  2. N

    Tanzania usipofisadi serikalini - adhabu ni hii

    wafundishwe na sisi wenyewe wazazi wa sasa wenye watoto wadogo,tukianzia hapo nafikiri labda itasaidia kuwa na kizazi chenye maadili.
  3. N

    Tanzania usipofisadi serikalini - adhabu ni hii

    Nafikiri ifike mahali watanzania wapate madarasa ya uadilifu...ethics courses labda itasaidia lakini ianzie nyumbani toka mtoto mdogo afundishwe juu ya ubaya wa tamaa na rushwa na pia afundishwe kufikiria wengine na kuchukia ubinafsi....hasa unapokuwa na nafasi katika nchi hii. Kwa hawa walioko...
Back
Top Bottom