Search results

  1. Paul Ndugulile

    Uchaguzi: Hii ndio Dira ya Mh. Samuel J. Sitta Kama mwenyekiti Bunge la Katiba

    Mh.Sitta akichaguliwa tutakuwa tumepata mtu makini na mzoefu.
  2. Paul Ndugulile

    Uchaguzi: Hii ndio Dira ya Mh. Samuel J. Sitta Kama mwenyekiti Bunge la Katiba

    Iwapo atasimamia uzalendo na kuthamini Nchi kwanza tunaweza kupata angalao katiba bora.Lakini kama ataogopa na kusimamia msimamo wa chama chake hakika katiba mpya itakuwa na mrengo wa kichama zaidi badala ya katiba ya wananchi wa Tanzania.
  3. Paul Ndugulile

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Maoni yangu ni kuwa na serikali moja tu, huu ndiyo utakuwa ni muungano usio shaka.
  4. Paul Ndugulile

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Watanzania kama tunataka muungano wetu uwe mzuri ni kuwa na serikali moja tu, katiba ya Zanzibar na Tanganyika ziwekwe kwenye droo na uwepo mkoa wa zanzibar na Pemba na hii mikoa ya bara watakuwepo magavana,Rais wa Tanzania akitoka bara makamu wake awe zanzibar kama Rais ni mzanzibar makamu ni...
  5. Paul Ndugulile

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Hata kama wamekuletea fuvu la mtu kwa ajili ya njaa zao napo utii kubabikiwa kesi? Je mbona hujasema polisi wala rushwa na magendo tukiwabaini mitaani nao washushiwe kipigo?? Wallah huna nia njema na Nchi, usione vyama vya upinzani tu.Tafakari kwa kina zaidi kauli yako.
  6. Paul Ndugulile

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Nchi inaendeshwa kihuni, Lakini siku za kuondoka madarakani zimewadia.
  7. Paul Ndugulile

    Dr.kitima aiponda serikali kuhusu bajeti 2013/2014

    Ni kweli aliyoyasema Dr.Kitima ni ukweli ulivyo, bajeti tegemezi huwezi kupata maendeleo.
  8. Paul Ndugulile

    Bajeti Ya W/Elimu - Jedwali Ukarabati wa Shule lapingwa

    Mtatizo waliyonayo wabunge wa ccm ni kuiogopa serikali yao kuiumbua, na kupelekea mambo mengi wanapoyaona hayaendi vizuri serikalini, wapo tayari hoja hiyo kumpa mbunge wa upinzani aiseme bungeni. Kisa ni kuogopa kuhojiwa na chama kwa kidhalilisha serikali,
  9. Paul Ndugulile

    Chadema vyuoni yafa kwa kasi.

    Usistajabu na hilo, wasomi wetu wa sasa hivi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kwasababu anguko la elimu ni la muda mrefu, hivyo wengi walio vyuoni ni wale ushindi wao ni wa kuungaunga. Wameshindwa kutanabaisha maisha ya dhiki waliyonayo wazazi wao huko vijijini kwa sera mbovu za chama cha zamani...
  10. Paul Ndugulile

    Mwl mstaafu ndugu Tresphory Noniyaza

    Namtafuta mtajwa hapo juu mwenye kumfahamu anijulishe kwa simu 0754041960 mahali alipo au anitumie namba ya simu yake.
  11. Paul Ndugulile

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Wako wengi hao, ambao huachwa solemba siku moja. Ni dhahili kupenda ni upofu,na mapenzi ya pesa siyo mapenzi ya dhati, pamoja na kumsomesha dada huyu lakini naye alikuwa na mtazamo wa kuolewa na msomi,maana huyu wa pesa ni ushamba na ulimbukeni wa pesa zisizo na jasho ndiyo anadiriki kufanya...
  12. Paul Ndugulile

    Nape: CHADEMA yafilisika Kisera

    kinachotakiwa hapa ni mabadiliko tu, kama wewe na chama chako ccm kungekuwa na sera safi tusingefika hapa tulipo kwa Nchi kuwa maskini kiasi hiki, ujinga kuongezeka, Afya ndiyo kabisa ni mgogoro. kwanini sisi wananchi tusihitaji mabadiliko ya uongozi mwingine! kwani ccm iliumbwa kutawala milele?
  13. Paul Ndugulile

    steve Nyerere Apata Ajali_Abishana na Polisi na Kusekwa Ndani

    fafanua kituo cha Polisi Mabatini mkoa gani?
  14. Paul Ndugulile

    MH. Mwakyembe Swala kuchimba DAWA safarini

    Nchi hii ni ya dili, wenye Mahotel ktk maeneo yaliyotangazwa na Sumatra wamecheza dili ili vipato viongezeke mfano Bus za Dar-Mza ni 10 kila kituo cha Hotel au choo cha kulipia @200mapato yataongezeka na watakao kula chakula nao watakuwa wengi, hii ni akili mkichwa!
  15. Paul Ndugulile

    Jk kugawa ng'ombe wakati wa mgomo wa walimu maana yake wamasai waendelee kuchunga .

    Rais hatakiwa kuwa na upendeleo, Mbona kuna wafugaji wa ng'ombe walitolewa kwa nguvu bonde la usangu na kusababisha kupoteza mifugo yao mingi na baadhi kufa, na kuporwa hawa hawepewi kifuta machozi kwa hasara waliyopata hasa ukizingatia serikali ndiyo iliwasababishia hasara hii? Hakuna sehemu...
  16. Paul Ndugulile

    Maandamano kupinga sheria iliyopitishwa- mifuko ya jamii (ppf/nssf) kuchukua 55 years

    Hii sheria ni kandamizi, hakuna ajira iliyo bora hapa Tz sekta binafsi wala Makampuni ni mengi yanaajira za manyanyaso ukimaliza miaka miwili umejitahidi sana.Hivyo kusubiri miaka 55 ndipo nilipwe mafao yangu ni unyanyasaji,Pia muda wa kuishi umepungua sambamba na maradhi ya kuambukiza ni...
  17. Paul Ndugulile

    Kwa hili la leo ni wazi kuwa CCM wamejiua!.

    Wabunge wa ccm acheni kukandamiza upinzani kwa kutumia wingi na spika kuwaunga mkono, kama mnaheshimu mhimili huu wa Mahakama mbona Madaktari waliokuwa kwenye mgomo mumewafukuza kazi bila kusubiri uamuzi wa Mahakama? Nchi hii ni yetu sote tusiingize hoja za kukomoana hazina tija kama HAKI...
  18. Paul Ndugulile

    Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

    Mwigulu vipi! murder zote hupelekwa Mahakamani, iweje uombe utaratibu Bungeni ili kujadili vurugu za Iramba na kupelekea mauaji ya mfuasi wa ccm, mbona hukuomba utaratibu kwa kutekwa Dr.wetu Ulimboka? Acha Bunge liokoe muda na fedha ya walipa kodi,Wahi kwenye sheria.
  19. Paul Ndugulile

    Uamsho waanza harakati zao upya huko Zanzibar

    Hello, kwa swala la sensa itumieni fursa hii kuweza kuhesabiwa, lakini kwa muungano toeni maoni yenu kwenye Tume ya katiba.
Back
Top Bottom