Kwa mtazamo wangu Tanzania yetu ilivyo sasa ni ngumu kwa raisi mwanamke kuweza kuitawala. kwa hiyo huyo Asha Rose migiro hawez kuwa mtu sahihi kuiongoza nchi hii kama raisi. Nchi ambayo kila kona inanuka rushwa, ufisadi, ukandamizaji wa haki za wanyonge na viongozi wasanii. kwa kweli nchi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.