Search results

  1. P

    Askari aliyemfyatulia risasi Sheikh Ponda akamatwa na Polisi

    haaaaaaaaaa ndio maanaaaaaaaaa kumbe ijumaa imekalibia. mara askari kakamatwa.
  2. P

    Askari aliyemfyatulia risasi Sheikh Ponda akamatwa na Polisi

    DAAAAAAAAAAAAH inaweze kana bana.
  3. P

    BAVICHA ,UVCCM wamtembelea sheikh Ponda Muhimbili

    kwa mara ya kwanza naona busara imetumika humu ndani .......mungu anatusaidia kmjua mbaya wetu tusikubali kugawanywa hili tutawalike kwa udini wa watawala..........kosa gani au sheria gani hina mfanya askari afyetue risasi kwa raia au kiongozi waaina yoyote??? nyie mnao laumu heche kwanda...
  4. P

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    ari? yako Bwana ADOYA najalibu kupitia mjadala wenu na mohamed nimzuri kwa lengo la kujenga lakini maswali ya wasomali ni kumtoa nje ya mada. hivi una jua kwamba 1992 wamarekani waliburuzwa kwenye mitaa ya mogadishu hakukua na matatizo haya unayo yaona pale hila kwa sababu mataifa ya...
  5. P

    Anayedaiwa kumuua padri mushi kufikishwa mahakamani kesho.

    hivi huna ushaidi gani kama kifo hik ni kwa sababu ya udini??? WAENGA WALISEMA kwenye msiba hapakosi mchawi...unaingia kwa mganga unanza kusema mm ninawsiwasi na yule jilani yangu...........hainingiii akilini kwamba waislamu ndio wauwaji. inawezekana muaji akawa muislamu au mkristo au...
  6. P

    Anayedaiwa kumuua padri mushi kufikishwa mahakamani kesho.

    KUFA KUFAANA..IMESHAKUA MTAJI KWA CCM TENA?? KWA SABABU GANI KAMUHUAAA?? Niliona kwenye gazeti F.B.I Wasema wauaji ni raia wa kigeni leo???
  7. P

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    habari? yako Bwana ADOYA najalibu kupitia mjadala wenu na mohamed nimzuri kwa lengo la kujenga lakini maswali ya wasomali ni kumtoa nje ya mada. hivi una jua kwamba 1992 wamarekani waliburuzwa kwenye mitaa ya mogadishu hakukua na matatizo haya unayo yaona pale hila kwa sababu mataifa ya...
  8. P

    Vuai anena kuhusu Muungano

    Una umri gani? umeanza kufatilia siasa kuanzia 2010? nini
  9. P

    Hivi ni upi U - professor wa Mh Lipumba? Sina shaka na elimu yake lakini.....

    alikujibu nini mwali? tuambie na sie tusikiee?
  10. P

    Viongozi wa CUF na gari lao wafukuzwa na wamachinga hapa soko la Kilombero, Arusha

    mkienda kupigwa bakora kule micheni msilie,....hili sio suhala lakujisifia bana.....sehemu yoyote cdm inanguvu wawe wavumilivu na wenzao kama sehem zozote cuf wananguvu pia wewewavumilivu na wenzao.ucjisifu ujingaaaa.
  11. P

    CHADEMA furahieni kupoteza umeya wa jiji la Mwanza, ni bahati sana kwenu

    Kunya anye kuku akinya bata kaarisha!
  12. P

    Wazanzibari wachoshwa na Mfumo wa Muungano viongozi wa Smz waja juu wasema Znz kwanza chama Baadae.

    uhuru kutoka kwa Tanganyika? au? ...........wizi mtupu.
  13. P

    Wake wengi

    niambie nilazima kuoa wake wengi? kwa mfano uwezikuwaudumia inakuaje?
  14. P

    Wake wengi

    Hivi baba yetu wa imani Ibrahim halioa wake wangapi?...david wangapi?....suleman wangapi?.....luth wangapi?...moses wangapi?....! Kitabu gani kimesema mke moja tu! ukiondoa kuluani ambayo inafahamika ....wengine sie tupotupo tu! yani uje kwa wakuriaa na kamke kamoja??????????
  15. P

    Hivi ni upi U - professor wa Mh Lipumba? Sina shaka na elimu yake lakini.....

    kesho tutauliza dr slaa ni dr wa nini?
Back
Top Bottom