Search results

  1. Simba mnyama

    Sasa hivi nimeacha kuangalia Startv

    Mie niliacha siku hizi hayo ma-tv. TV pekee yenye heshima ni ITV.
  2. Simba mnyama

    Rais Kikwete afanya mabadiliko Tume ya Uchaguzi (NEC) Pia ateua Majaji

    Wana-JF, Ikiwa ni miezi mitatu kamili kabla ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kufanyika hapa nchini, jana tarehe 25 Julai 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amefanya Uteuzi wa Majaji 13 wa Mahakama Kuu. Walioteuliwa ni pamoja na ndugu Ignas Pius Kitusi, ndugu...
  3. Simba mnyama

    kosa la kwanza la mh.dk. magugufuli j.p.

    Huyu mama Samia na Sita ndio walioharibu bunge la Katiba. Hafai kabisa
  4. Simba mnyama

    Kikwete amteua Dr. Mighanda Manyahi M/kiti Bodi ya TANESCO

    Huyo Juma Mkobya. Ni jembe. Hapo wamelamba dume
  5. Simba mnyama

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kitunda yenye mitaa 6 yote imechukuliwa na Chadema, CCM wameambulia sifuli
  6. Simba mnyama

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Yaani ndo maana CCM Walikimbilia kwenye mapingamizi. Naamini hata hizo walizopata wameiba
  7. Simba mnyama

    Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    Unaweza kusema CCM inalazimisha mapenzi kwa wananchi. Wananchi wameichoka. Wananchi hawaipendi CCM. Leo nimefika katika kituo changu nilichojiandikishia kupiga kura hapa jijini Mbeya, nikiwa na hamu kabisa ya kutumia haki ya msingi kumchagua kiongozi nimtakaye. Mbali na mimi niliwakuta pia...
  8. Simba mnyama

    Zitto: Wabunge watetezi wa Escrow walihongwa m10 na IPTL

    Mbona hilo tunalijua! Yale mapovu waliyokuwa wanayatoa bungeni pasipo hoja tulijua wamelamba mapesa. Watu kama Assumpta Mshama (Mbunge wa Nkenge), Suleiman Nchambi (Mbunge wa Kishapu), Mbunge wa Viti maalum na Mwenyekiti wa( UWT) Temeke, Mariam Kisangi na wengine wengi hawafai kuwa viongozi...
  9. Simba mnyama

    Utafiti wangu: Maprofesa wengi walioteuliwa serikalini wameboronga

    Kulingana na utafiti wangu nilioufanya kwa kuangalia samples za maprofesa mbalimbali waliopewa majukumu serikalini wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo kitu kinachonifanya ni-conclude kuwa sio uprofesa unaoongoza bali kipaji, moyo wa uzalendo, na uadilifu wa mtu. Kwa muda mrefu na kwa...
  10. Simba mnyama

    Mariam Kisangi kuwepo bungeni ni ujambazi! Huyu mama ni wa wapi?

    Huyu mama kama atasoma hizi comments za JF lazima anywe sumu. Kama asipojiua basi nitaamini kweli yaliyoongelewa humu ni kweli! Kwamba mbunge wa kitandani!! Ha ha ha haaaaaaaa! Watu wana maneno!
  11. Simba mnyama

    ESCROW: Majibu ya Prof Muhongo ni aibu ya mwaka kwa PAC na wasaka tonge

    Msaka tonge ni wewe unayetumwa kama kibaraka na mabwana zako kuleta hoja za kitoto humu baada ya kupewa buku mbili
  12. Simba mnyama

    Askofu methodius kilaini unastahili kufungiwa jiwe na kutoswa baharini

    Siku ya jana tarehe 26 Novemba 2014 taifa letu limeandika historia nyingine mbaya kutokea katika uongozi wa awamu ya nne ya utawala wa nchi hii. Historia hii iliandikwa wakati taarifa ya Kamati ya PAC iliposomwa bungeni kufuatia matokeo ya ukaguzi maalum wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  13. Simba mnyama

    Nimrod Mkono alishwa sumu, ilikuwa imuue ndani ya masaa 72!

    Ni shidaaaa! Kweli ni shidaaaa!
  14. Simba mnyama

    Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Kuna taarifa kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imeliingia Bunge la Jamhuri ya Tanzania kwa kuzuia ripoti ya IPTL kuhusu uchunguzi wa ufisadi katika Akaunti ya Tegeta Escrow kujadiliwa humo bungeni kwa kile kinachoitwa “eti kuna kesi mahakamani”. Leo asubuhi tumemuona Waziri Mkuu alivyokuwa akitoa...
  15. Simba mnyama

    JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

    Dr. Slaa, hakuna kama yeye
Back
Top Bottom