Search results

  1. Jembeulaya

    Bandarini na TRA uozo mtupu, kazi bado

    jamani kweli ni warasimu. me nishuhudia gari ikiwekwa wiki kisa ukaguzi wa mwisho baada ya malipo yote kuisha ukaonyesha mikanda ina mwaka mmoja nyuma. ikalipwa damping fee bado sijui wanataka malipo mengine ya offense jamani document nilizopewa ndo zilivyo onyesha mikanda naikaguaje kujua. Ni...
  2. Jembeulaya

    Kwanini watu wanafunga NDOA!??

    pole sana kaka, hakujua thamani ya uaminifu na kumwamini ulioweka kwake. nasikitika kuwa atakuja kujutia ila itakuwa kama kuanguka kwa tawi mtini, huwezi rudisha the early trust uliyokuwa nayo kwake. liweke wazi kwa ndugu zenu na ikiwezekana anza maisha upya. Mwombe Mungu akupe ujasiri na moyo...
  3. Jembeulaya

    Ingekuwa vipi?

    Jamani ingekuwa vipi kama maneno yangekatazwa kutumika kwenye report na hotuba za viongozi wetu; Mchakato umeanza.... Wataalamu wetu wameshaupitia.. Hatua za awali zimeshafanyika.. Jazia mengine...
Back
Top Bottom