Search results

  1. K

    UVCCM kazi tu,Shaka Singida na Asenga Morogoro

    Shaka Singida Asenga Morogoro Ukawa endeleeni kutetea Mafisadi Maana jana walikutenga kwenye mkutano wako mbaghala Abubakar Asenga akizungumza juzi mvomero alisema "Achaneni na wauza maneno fanyeni kazi kujiletea maendeleo Hawa hawana ajenda ya maendeleo bali siasa za kudakia changamoto Jana...
  2. K

    Zitto UVCCM inakupa kiwewe?

    ZITTO, UVCCM NI TAASISI IMARA HAIWEZI KUTUMIKA NA MTU KINYUME NA MASLAHI YA CHAMA AMBAYO PIA NI MASLAHI YA NCHI Nimeona taarifa ya Kaka Zitto kabwe akielezea hoja zake kwa msingi wa kukana kumhujumu Rais Magufuli na kuwa waliotoa taarifa hizo wanatumiwa na mmoja wa Mawaziri ( ) wa Serikali ya...
  3. K

    CCM kuiua ni kazi kubwa sana"Shaka aendelea kuandaa chipukizi wa UVCCM"

    Tofauti na vyama vingine kaimu katibu mkuu wa UVCCM anaonekana kila anapopita anakutana na watoto wanaorisishwa imani ya CCM ambayo sasa ipo katika misingi wa HAPA KAZI TU VIZURI VYAMA VINGINE VIKAIGA HILI BADALA YA KURITHISHANA WANACHAMA WENYE TUHUMA za ufisadi Ama unakuta chama kinataka...
  4. K

    Shaka Hamdu aanza kata kwa kata Arusha, 310 CHADEMA warudi CCM

    Atakuwa katika ziara mkoa wa Arusha ndani ya siku kumi... Ujumbe "Vijana tufanye kazi na asiefanya kazi na asile.." Poa amelifungua baraza la vijana Mkoa wa Arusha
  5. K

    Lema nae kaacha kuvaa Gwanda sasa kaiga mashati ya mzee aliotoka nayo CCM

    Zaidi ya miezi mitatu sasa akionekana kwenye matukio ya chama na yale ya jimboni kwake kama lile la juzi na kamati ya bunge alivalia shati hili Zamani ililalamikiwa gwanda lilipovaliwa hadi kwenye shughuli za kiserikali Tukajibiwa kuwa gwanda si uniform ua chadema ni vazi tu Haya bas sawa...
  6. K

    Shaka Hamdu amvaa wenje mwanza.wenje aomba polisi wamzuie Shaka kufanya kampeni

    Tangu juzi kaimu katibu mkuu wa UVCCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekuwa na ziara mikoa ya kanda ya ziwa na ameanzia mkoa wa Mwanza ambapo atapita kata kwa kata kuendelea kuipa nguvu zaidi CCM na serikali yake inayoongozwa na Rais Magufuli Akiwa Nyamagana na ilemela Gafla Shaka alijulishwa na...
  7. K

    Na bado kesho UVCCM tutamwagika uwanja wa Amani

    Endeleeni na propaganda za kitoto nchi tumeshachukua
  8. K

    Zanzibar imechafuka kwa maandamano ya kufurahia ushindi, sikuamini kama ni wengi kiasi hiki

    Ilikuwa kuanzia majira ya saa nane hivi mchana Siku ya Kuapishwa itakuwa balaa
  9. K

    UVCCM itabaki imara daima, ilishavuka mawimbi makubwa zaidi ya haya

    UVCCM WATANGAZA VITA NA WANAOTAKA KUICHAFUA JUMUIYA. Tunapenda kuwajuilisha kwa masikitiko makubwa kuwa Leo alasiri kupitia mtandao mmoja wa kijamii ulisambazwa taarifa ya kihuni na upotoshaji ikiihusisha Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa (UVCCM)dhidi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais...
  10. K

    Jenista Mhagama aiteka Songea Vijijini

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Joachim Mhagama aiteka Songea vijijini katikati Ziara yake ya siku 8 Jimboni Peramiho
  11. K

    Siri ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya yavuja

    Ikumbukwe ni masaa 24 tangu Waziri Mkuu Mizengo Pinda Katangaza wakuu Wa Wilaya zimeibuka hoja nyingi baada ya uteuzi huo kutangazwa. Wiki mbili zilizopita kulikuwa na kikao Kizito pale Songea kikao kilicho mhusisha Pinda na Mkiti Wa Ccm Mkoa Wa Iringa,Kikao kilikuwa na Agenda kadhaa moja wapo...
  12. K

    Sixtus Mapunda amkimbiza Halima Mdee huko Tanga

    katibu mkuu wa umoja wa vijana wa ccm ndugu SIXTUS MAPUNDA leo kwa kushirikiana na mkuu wa wilaya ya korogwe Mh Mrisho Gambo na mbunge wa korogwe vijijini Prof Majimarefu wameezeka maabara moja na kumimina zege la lenta katika maabara ya pili kwa ushirikiano mkubwa na wananchi wa korogwe...
  13. K

    UVCCM Tanzania wampongeza Makonda kumuokoa Warioba na Mpanju kwenye mdahalo uliovunjika

    Dodoma. Baraza kuu la vijana wa CCM linaendelea,kabla ya baraza kuanza ,vijana walikuwa wamekusanyika wakisubiri utaratibu mara akatokea Paul Makonda,kila kijana aliyekuwa anamuona alimsogelea na kumsalimia kumpa pole,pongezi kwa ujasiri wake wakukubali kupigwa na baadhi ya vijana wahuni lakini...
  14. K

    Wacuba,china na israel wamaliza kutoa mafunzo kwa uvccm,wajifungia mwezi mzima dsm

    katika kila kinachooneka kuwa ni kupunguza maneno na kufanya vitendo zaidi katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa,kura ya maoni ya katiba na uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,umoja wa vijana wa CCM wapewa mafunzo ya mbinu za kisasa zaidi ili kukisaidia chama chao kushinda chaguzi hizo kwa urais...
  15. K

    Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

    Kikao Cha Jana Cha NEC{halmashauri Kuu Ya CCM -Taifa} Pamoja Na Mambo Mengine Kilitoa Pongezi Maalum Kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa Kwa Kubuni Na Kusimamia Ujenzi Wa Jengo kubwa La Kitega Uchumi kwa ajili ya Umoja Wa Vijana{UVCCM}
  16. K

    Lowassa, Dr. Slaa waongoza kura ya maoni

    Mh. Edward Lowassa aendelea kuwatesa wagombea wengine wa CCM, Dr. Slaa aiongoza safu ya wapinzani..... kwa taarifa zaidi fungua hii attachment.
  17. K

    Membe ni mende. Membe ni foreigner (mgeni ndani ya nchi yake) membe rudisha pesa za marehemu gadda u

    Membe hafai kuwa rais anaweka makundi ya kuwachafua watu bila sababu kisa urais 2014. Watanzania tuungane kupata rais anayefaa tanzania na sio hao wageni wa nchi yao wanaoshindwa kuwasaidia watanzania wanaopata matatizo nje ya nchi zao kama membe na mengine kibao.
  18. K

    Sayansi inamthibitisha Membe?

    SAYANSI INATHIBITISHA KUWA BERNARD MEMBE NI MGOMBEA MWENYE AKILI ZAIDI,ANAEFIKIRI SANA NA HARAKA KULIKO WAGOMBEA WENGINE ? JE NI KWELI ? kwa kuwa ni yeye pekee anaetumia mkono wa kushoto,na wengi wanaotumia mkono huo wamebarikiwa vipawa? reserch za kisayansi zinathibitisha na watu...
  19. K

    Wakati CCM wanakimbizana na sayansi na technolojia, CHADEMA hata jengo la makao makuu letu bado

    niwazi kabisa kuwa chadema ndio chama kikuu cha upinzani na kwakweli kimesaidia sana baadhi ya mambo na kuisaidia serikali katika kutimiza wajibu wake pamoja na kuwa na imani kuwa chama ni watu na mioyoni mwa watu lakini bado na shauri sana viongozi wa chadema kujenga chama kama taasisi imara...
Back
Top Bottom