Search results

  1. Kambona Mfufuka

    Msaada: Mwenye pdf au online link ninayoweza kuzipata kanuni za uundwaji wa Baraza la Vijana

    Habari wanajamvi! Natumai mnaendelea vyema na mapumziko yenu ya wikiendi. Ninaomba ikiwa una access ya link au pdf document ya kanuni za uundwaji wa Baraza la Vijana Taifa kwa mujibu wa Sheria ya Uanzishwaji wa Baraza la Taifa ya mwaka 2015 unisaidie tafadhali. Nimejaribu kuitafuta...
  2. Kambona Mfufuka

    Vijana walilia ushirikishwaji katika ufanyaji maamuzi ngazi za chini

    Na Anthony Damas Iringa. Vijana wa kijiji cha Mafuruto kata ya Mlowa wilaya ya Iringa Vijiji wamesema hayo mbele ya Mratibu Mwandamizi wa mradi wa Kijana Wajibika Bw. Oscar Kimaro ambao unasimamiwa na Shirika la Maendeleo ya Vijana la Restless Development. Mratibu Mwandamizi wa mradi wa...
  3. Kambona Mfufuka

    Dhana ya kuongozwa na matukio, Watanzania tubadilike

    Ni katika hali ya kushangaza siku hizi taifa letu limekuwa likikumbwa na vipndi vingi vya mpito na pengine masuala yanayohitaji umakini na ufuatiliaji wa karibu. Kinachonisikitisha ni namna ambavyo wenye mamlaka wanavyotumolia nguvu kubwa ya propaganda na pengine nguvu ya fedha kuwatoa watu...
Back
Top Bottom