Search results

  1. M

    Sakata la Maandamano Rombo, Ben Saanane aitwa na Polisi

    Muda Mfupi uliopita Ben saanane, Ameitikia wito uliomtaka kufika Makao makuu ya Jeshi la Polisi Wilayani Rombo,Ikumbukwe kuwa Ben saanane pamoja na Wanaharakati na wananchi Wa Wilaya hiyo,Wamewasilisha Barua yakuomba kibali chakufanya Maandamano ya Amani kupinga kauli za kidhalilishaji...
  2. M

    ACT-Wazalendo Wauza vitabu vya Chacha Wangwe Mkoani Tabora

    Katika Mikutano ya Hadhara inayofanywa na ACT hususani wa Jana Mkoani Tabora, Wamekuwa wakiuza Vitabu vilivyoandikwa na Deo Meki kuhusiana na Chacha Wangwe kiitwacho "UKWELI HAUFI" Wadau Hii imekaaje? Chanzo Mtanzania la leo.
  3. M

    Viongozi wa ACT watolewa "nduki" Jukwaani

    BUKOMBE- Viongozi wa ACT-WAZALENDO, Wametolewa "Nduki" Jukwaani na Wananchi baada ya kutuhumiwa kuwa ni Vibaraka wa CCM. Tukio hilo limetokea juzi kwenye Mkutano wa hadhara ulioitishwa na Viongozi wa Chama hicho katika uwanja wa Kilimahewa Mkoani Geita. Chanzo Mwananchi tokeo la leo,Ukurasa wa...
  4. M

    Ndesamburo atangaza kutogembea Ubunge, Kumuunga Mkono Meya

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Mh. Philemon Ndesamburo, Ametangaza rasmi kutowania tena nafasi hyo. Ameyasema hayo Muda huu katika Mkutano wa Hadhara, Na kutangaza kuwa atamuunga Mkono Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Ndugu, Jaffary Michael kutwaa Jimbo hilo. ====================== Chanzo...
  5. M

    Wafanyabiashara wote Moshi wamegoma

    Wakuu ule Mwendelezo wa Wafanyabiashara Nchini kugomea Mashine za utoaji risiti EFD,Leo Unafanyika katika Mji wa Moshi.Pia wanataka Kesi iliyofunguliwa dhidi ya Mwenyekiti wao Taifa ifutwe. Tokea Asubuhi Maduka hayajafunguliwa Mpaka Muda Huu Tofauti na siku Nyingine. Kuna Taarifa Za Mikoa...
  6. M

    Ujio wa Zitto Kigoma, Magdalena Sakaya wa CUF ndani

    Wakuu wakati Zitto akitua Mkoani Kigoma Muda huu Mbunge wa Viti Maalum CUF,Na ambye Ni Naibu katibu Mkuu wa CUF-Bara Mh.Magdalena Sakaya Ni Mmojawapo ya Wanamsafara waliopo na Zitto.
  7. M

    Mwigamba;Tunaupinga ushauri wa Msajili

    Katibu Mkuu wa Chama chenye Mgogoro wakugombani Madaraka,ACT Samsoni Mwigamba,Amesema wameukataa ushauri wa Msajili wa Vyama vya Siasa uliowataka kuendelea kuwa chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wao Kadawi Limbu. Mwigamba amesema tayari wamemuandikia barua msajili ya kukataa Ushauri huo na...
  8. M

    Padri Wootherspon: Kukutana na Dr. Slaa ni sawa nakukutana Mandela au Nyerere

    Padri kutoka Hong kong aliyekuja Nchini kuhimiza kampeni ya kuwazuia Vijana kuacha kusafirisha dawa za kulevya katika Majimbo ya China ya Guangzhou, Macau na Hong kong, Amesema kukutana kwake na Dr.Slaa ni sawa nakukutana na kiongozi kama Mandela au Nyerere. Alisema hayo alivyokaribishwa...
  9. M

    Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015

    Mbunge wa Singida Mashariki CHADEMA Mh.Tundu Lissu ameweka wazi nia yake endapo atapitishwa kuwania Urais kwa kusema yupo Tayari. CHANZO: Mtanzania
  10. M

    Serikali yaamriwa kuanzisha mchakato wa mgombea binafsi, ni baada ya Mtikila kushida kesi

    Mahakama ya Afrika iliyoko Jijini Arusha imeimuru Serikali ya Tanzania kuanzisha mchakato wa kisheria utakaoruhusu kuwapo mgombea binafsi katika nafasi mbalimbali za uchaguzi katika kipindi kisichozidi miezi sita.Hukumu hyo imesomwa leo mkoani Arusha na Jaji wa mahakama hyo.
  11. M

    OLE SENDEKA aendeleza unafki

    Mbunge wa OLE SENDEKA ameendeleza unafki wa wabunge wa CCM baada yakusema kuwa hoja yake yakutaka kuundwa kwa Kamati teule ya Bunge baada ya Maelezo ya Waziri Mkuu,Huu ni mwendelezo wa unafki kwa kuwa hamna cha msingi ambcho PINDA amekisema kuhusiana na ESCROW ACCOUNT,
  12. M

    PINDA: Kanuni za bunge zirekebishwe

    Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema haina budi sasa Kanuni za bunge zirekebishwe ili kuepuka Wabunge kutoka Nje ameyasema muda huu. ===========================================
  13. M

    Peter Msigwa na James Lembeli Wanahojiwa TBC1 sasa

    Waziri kivuli wa wizara ya Mali asili na utalii Mh.Peter Msigwa na Mwenyekiti wa kamati ya malia asili Mh.James Lembeli wanahojiwa katika studio za TBC1 kwa sasa.
  14. M

    Kashfa nzito Manispaa ya Kinondoni

    Katika kile ambcho ni kielelezo cha vitendo vya ubadhirifu na ufisadi wa Mali za umma kushika hatamu ndani ya Taifa,Manispaa ya Kinondoni imeingia katika kashfa ya kununua madawati mia tatu kwa shilingi milioni mia tatu sawa sawa na kusema thamani ya Dawati moja ni shilingi milioni moja...
  15. M

    Wenje awasilisha bungeni kusudio la Muswada wa ushoga

    Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje amewasilisha bungeni kusudio la kupeleka muswada wa kukataza na kudhibiti vitendo vya ushoga nchini. Akizungumza na waandishi wa habari jana mara baada ya kukabidhi kusudio hilo kwenye ofisi za Bunge, alisema amewasilisha kwa mujibu wa Kanuni...
  16. M

    Mathayo Torongey (CHADEMA) aongoza kura za maoni kuwania ubunge Chalinze

    Mathayo Torongey ameongoza kura za maoni katika uteuzi wa mgombea ubunge wa Chadema katika Jimbo la Chalinze katika uchaguzi uliofanyika leo.
  17. M

    Nani atasimama Kugombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA CHALINZE?

    Wanabodi uchaguzi mdogo katika Jimbo la Chalinze umetangazwa na mchakato kwenye vyama vya Siasa unatarajiwa kuanza rasmi.Kwa kuwa Chadema wamepata nguvu kubwa ya ushawishi katika Jimbo hilo,Je Ni nani mnadhani atakuwa mgombea wa chadema?
  18. M

    Mbunge anayetajwa na gazeti la Jamhuri ni yupi?

    Katika gazeti la Jamhuri toleo la leo Jumanne wameweka makala ya mahojiano yao na anayetajwa kuwa Jambazi mstaafu Mohameid Malele aliyeamua kuachana na kazi hyo. Malele ananukuliwa kwenye toleo hilo akmtaja Mbunge mmoja na Diwani mmoja kuwa ni mojawapo wa washirika wa matukio ya kihalifu...
  19. M

    Yuko wapi Agustine Lyatonga Mrema?

    Wana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema.
  20. M

    Lukas Sankara ashinda kura za maoni Kalenga

    Mwanasheria wa Chadema nyanda za juu kusini wakili msomi Kamanda Lukas Sankara ameshinda kura za maoni zakuwania tiketi ya kuwania kiti cha ubunge kwa tiketi ya CHADEMA katika Jimbo la Kalenga baada ya kuwashinda wenzake 12 jioni ya leo. ========================= Habari zaidi na Picha...
Back
Top Bottom