Habari za leo! Natafuta huduma ya kuchibiwa bwawa la samaki Shambani kwangu. Niko Bagamoyo maeneo ya Kidomole. Kwa mtu yeyote anayetoa huduma hii au kama unamfahamu mtoa huduma hii /kampuni inayohusuka na kazi hizi naomba sana contact hapa au ni PM. Nitashukuru sana.
Naomba kama unaifahamu shule nzuri yenye kiwango kizuri cha ufundishaji na utulivu wa mazingira maeneo ya kuanzia BUNJU mpaka BAGAMOYO naomba nifahamishe. Nina watoto wa miaka ya kwenda shule hizi na ningependa kuwapatia haki ya elimu bora. Naomba jina la shule na namba za simu kama unazo pia...
Nina mahitaji ya haraka ya nyumba ya kupanga. Iwe na sifa zifuatazo minimum: 1.) Self contained preferably bedrooms 2 to 3(tatu) , 2.) Iwe na AC, 3.) Iwe Fenced/gated with car parking ndani, 4.) Easy access sio zaidi ya Km 1. kutoka Bagamoyo road, 5.) Furnished itakuwa vizuri zaidi, 6.) Maji na...
Niliwahi fanya nao biashara hii ila ni mud kidogo (2009). Kwa kweli huduma yao ilikuwa ni nzuri sana na Gari langu lilifika katika hali nzuri na kwa muda muafaka.
Patamu humo mjengoni....watu wanakata ....wangine wanaunganisha...wanakata....wengine wanaunga. Hapo sasa. Hii ngoma bado sana mwenye kulala akalale tu.
Hii ni kweli kabisa, na mara nyingi hali inakuwa hivyo kwani mie binafsi mashamba yangu yote nimeyapata kwa kupitia taarifa za kupewa na jamaa zangu. Mara nyingi wanapewa taarifa ila pesa ya kununua inakuwa pungufu hivyo wananiunganishia mie. Pia nikishindwa na mie mara kadhaa nimewaunganishia...
Kama baadhi ya waliotangulia hapa napenda kusema asante Malila na Mbu kwa thread hii. Binafsi niko kwenye fani hii hii ya mashamba na mpaka sasa ninaendeleza juhudi zaidi ili kufikia malengo.
AUSTIN, Texas Former U.S. House Majority Leader Tom DeLay, once considered among the nation's most powerful and feared lawmakers, was sentenced to three years in prison Monday for a scheme to influence elections that already cost him his job, leadership post and millions of dollars in...
YouTube - Conjoined Twins, Abby & Brittany Hensel turn 16
Mungu ni mkubwa. Hapa pia ni wengine ambao wamekuwa na mafanikio makubwa katika kuweza kukabiliana na challenges za kila siku kwa namna moja...hivyo natumaini pia kwa namna moja au nyingine Maria Mwakikuti (kushoto) na Consolata...
Nahisi MUNKALI kunipanda baada ya kusoma post 64 zilizotangulia. Hili ni swala dogo kwa kimo lakini ni kubwa kimaudhui kutokana na mazingira yanahusiswa na huyo mtu na hizo preferential treatments. Kama hii taarifa ni ya kweli basi sina la kusema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.