Wanabodi,
Kuna taarifa kwamba treni toka Dar imepata ajali na mabehewa zaidi ya matano yameanguka na kujeruhi na kuua abiria wilayani Bahi mkoani Dodoma. Chanzo rasmi Bado ila inahusishwa na kuharibika daraja. Taarifa rasmi zitawajia.
I will real remember you,pamoja na sera za chama chako by then you were the gud Prezo,u did the best. Mr Benjamin Mkapa umenitangulia kila kitu,mpaka mauti,nakuombea sana huko ahera ikiwezaekana,upate pumziko. Ulichoka kwa uliyoyakuta na mliyofanya........tuachiie uliyoyaacha,tutaelewana tu...
I will remember you,pamoja na sera za chama by then you were the Prezo,u did the best. Benjamin Mkapa umenitangulia kila kitu,mpaka mauti,nakuombea sana huku ahera ikiwezaekana,upate pumziko. Ulichoka kwa uliyoyakuta........tuachiie uliyoyaacha,tutaelewana tu. The serventa has being called back...
Sijawahi fumaniwa au kufumania,ila huwa nashangaa sana why we alwaz deal with the victim and not mhusika? Mama umemfumania mumeo nyumbani kwako,amekimbia,unampiga mwenzako kama hivyo,unajua aliambiwaje mpaka akaja hapo nyumbani? Au mume unamfumania mkeo na mwanaume,unagombana na mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.