Search results

  1. K

    The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

    sasa naona wanataka kumchafua lowasa kwa kumsafisha Jk. Ni kitu kibaya sana kumtuhumu lowassa katika machafu yanayoendelea katika nchi yetu. Wakulaumiwa ni swaiba yake ambaye anataka kujishafisha kupitia Lowassa.
  2. K

    Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

    mwanzo wa ngoma ni ..... Na kisemwacho kipo kama hakipo ki......
  3. K

    Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

    ufadhili mbaya sana humnyima hata mtu kusema kile moyo wake unapaswa kusema. Usiongee kwa kushurutishwa kwani ipo siku damu za wenye haki zitadai na wewe utakuwa mmoja wapo watakao daiwa. Stay tune.
  4. K

    Tunakupongeza Askofu Shao kwa uzalendo wako, Padri Mapunda, Dr Slaa kuweni na huruma

    wewe unatumia vipi nafasi yako kuuwakomboa maskini. Au kujilimbikizia kwako mali ndio huruma yako kwa watanzania?
  5. K

    Tunakupongeza Askofu Shao kwa uzalendo wako, Padri Mapunda, Dr Slaa kuweni na huruma

    mtu mnafiki utamtambua kwa maneno yake. Kwanini tunatamka maneno ya ulaghai kwa wengine kwa maslah yako na familia yako. Ifikie wakati tubadilike ni matumbo gani hayo yasio shiba. Au matumbo yenu yanamatundu.
  6. K

    Salamu.

    Habari zenu wakuu wa Jf. Naomba mnipoke.
Back
Top Bottom