Search results

  1. M

    Swahili translator

    Thank you for the useful Translator.
  2. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Nilidhani huyu Pasco mtu wa maana, kumbe mhuni tu na mjinga. I wasted my time here in this useless thread arguing with this crazy man Pasco. I logout.
  3. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Kwanza watu wa pwani sio wavivu. Pili watu wa pwani ndio walioendelea na Wastaarabu zaidi in tz. Waungwana sana na watu wa dini wenye utu. Tatu, Nyerere alikuwa anawafelisha wanafunzi wa Kiislamu kwa makusudi, ndio maana Waislamu hao wa Pwani hawana shahada za kupata kazi nzuri serikalini.
  4. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Ama kweli akili ni mali. Eti unaleta rejea kutoka Wikipedia! Hiyo Wikipedia mtu yeyote anaweza kuhariri (hata mie naweza kwenda hapo nikaandika wazungu wabaya) Hahaha Waovu ni viongozi wetu waliosababisha tz kuwa masikini mpaka leo, hao ndio waovu wa kweli.
  5. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Pumbavu wee. Tumewagundua unafiki wenu wewe na Pasco, mna chuki kubwa sana dhidi ya Waislamu, au mmetumwa na wanasiasa kuja kudanganya watu hapa?
  6. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Thank you brother Mohamed for the useful information.
  7. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Waovu ni viongozi wetu wa hapa tz waliosababisha umasikini huu tulionao mpaka leo.
  8. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Kweli kabisa, hawa wanasiasa wana tunga historia ya uongo ili waaendelee kuitawala Zanzibar.
  9. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Watu wote waliosoma wanajua vyema kwamba meli za wazungu ndio zilikuwa zikiwachukua watumwa wa Africa na kuwapeleka south American, Europe na North America (mpaka leo wapo huko). Acha kujidanganya.
  10. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Wewe Pasco, naona sasa unaandika pumba tu, eti nahisi nahisi. Huna hoja wewe. Kuhisi sio hoja au sio Historia. Unaweza kuhisi kitu lakini ikawa sio kweli unayohisi. Dear members, asiwapotezee wakati wenu huyu Lofa Pasco mbaguzi wa rangi (mwenye chuki kwa Waislamu, tena sana).
  11. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Hii thread inahusu Zanzibar, kwanini basi unaweka picha za Congo in the post which is talking about Zanzibar? Je hauni hapa kama unadanganya?
  12. M

    Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

    Hawa MOD, naona wanafuta posts za Waislamu. Huu ndio mjadala? Lini mtaendelea nyie?
  13. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Wee Pasco, unatukana watu (Waislamu) kisha unatarajia kukumbatiwa? Sometimes, inabidi tutumia dawa ya moto ni moto, kukujibu uongo wako huu unaoandika hapa. Ukitaka heshima, anza wewe kuheshimu watu na wewe utaheshimiwa, In Sha Allah. Heshima kamwe hailetwi na matusi. (kama wewe...
  14. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Wewe ndio muongo namba moja. Waraabu na Wazanzibari weusi (Waislamu) ndio walioteswa na John Okello (kutoka Uganda) na wafuasi wake walipo ipindua Serekali ya halali ya Zanzibar (waliuuwa maelfu ya Waislamu bila ya hatia yeyote ile).
  15. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Wafundishe hawa kondoo wa bwana wajue ukweli, kazi yao kuropokwa tu bila ya uhakika wowote
  16. M

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    1) Waraabu hawakuwatesa babu zetu. 2) Waraabu na Wazanzibari weusi (Waislamu) ndio walioteswa na John Okello (kutoka Uganda) na wafuasi wake walipo ipindua Serekali ya halali ya Zanzibar (John Okello na wafuasi wake walifanya mauwaji ya kinyama kabisa, waliuwa maelfu ya Waislamu bila ya hatia...
Back
Top Bottom