Nilisema tangu mwanzo watu mnaongea tuu hamjui nini. Hayo ni magazeti.Kwanza kabisa nyumba hiyo ya Gavana ni mpya na hakuna ukarabati. hapo tayri gazetila mwamanchi linapotosha ukweli. Ukweli ni kwamba BOT imejenga nyumba mbili mpya moja ya Gavana na Naibbu gavana, na mpango huu ulikuwa tayari...
Huu ni uzushi mtupu na hauna ukweli wowote. Angalia ni gazeti gani limeandika. Naona hapa jamvini siku hizi wala hatufanyi utafiti. Tunabandua na kubandika. Hizi ni tuhuma tuu ambazo hazina ukweli wowote. Subirini bot wajibu pamoja na kutoa gharama halisi. Kwahili natetea bot na utawala wake...
MZEE MWANAKIJIJI PAMOJA NA KUKUFAGILIA NAKUOMBA PIA UJUMUISHE NA HAYA MACHACHE YA KUONGEZEA "Uking'ang'ania umoja bandia na watu wasio na maadili, utaununua umoja huo kwa kupoteza itikadi yako na itakuwa kama gulio tu la kuwakusanya watu wa kila aina wanaotaka vyeo" KWA MTAZAMO WANGU HIVI...
Jamani katika hiyo Htuba yake je Mmesikia pale aliposema, Tusameehane sasa, na tusahau ya nyuma. Nanukuu " Yaliyopita Si ndwele tugange yajayo, sisi wote ni watanzania na tuna mapungufu yetu, lazima tukubali kusaheeana na kumove one" Sasa ina maana kutokana na hiyo kauli, je hoja muhimu ya...
Mwanakijiji hilila DVD wewe unasemaje. Tunaomba urushe matangazo na kule kwa michuzi kuna watu wengi sana wanahitaji kujua hii historia inayoendela kutokea huko nyumbani.
mheshimiwa Moderator, kwa heshima na taazima napenda kujiunga nanyi wote katika blog yako hii. Mii ni msomaji mzuri wa hii blog na kweli ni mengi tumejifunza huku kuhusu ufisadi unaoendela huko nyumbani. Naomba niwakilishe hija yangu binafsi leoo hii ikiwa historia imewekwa, au itawekwa huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.