Search results

  1. M

    Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

    Sasa kati ya CCM na CHADEMA nani wana operation Sangara. Na sangara tunajua ni samaki kama usemayo ni kweli basi sisi Chadema tunatumia njia ya maji kuwafanya wananchi wawe chakula cha wanyama waishio majini. Acha kutuhaibisha wenzako bwana Episodes
  2. M

    Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

    i hate nwdays kila ki2 kina sura ya kisisasa. utashangaa hapa kubwa zima linaleta mambo ya CHADEMA na CCM. sio wakati wa masihara kwenye roho za watu
  3. M

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    hapo Chadema Tunausika na tumeonyesha sio wastaarabu kiasi gani. Leo TBC walikuwa wanamuonyesha sana Mh. Mnyika wakati Mh. Mwigullu nchemba anawasilisha madai yake sasa cjui ni nani anahusika ndani ya chama chetu na anataka kutuharibia Mwenendo wa operesheni sangara yetu.
  4. M

    Hotuba ya Tundu Lissu bungeni Julai 04, 2012 na hatma ya Muungano

    Nategemea leo kwenye bajeti ya muungano mhe. lissu ataendelea kuwachana mawhite wale wadau wanaoutetea muungano wenye faida upande mmoja. Alichosema : MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO), MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.) KUHUSU MPANGO...
  5. M

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    jibu swali uulize maswali. usipokuwa na sikio mdomo hAuna maana
  6. M

    Kwa hili Mwigulu Nchemba anastahili pongezi

    ushabiki wa vyama ndio unatufanya tuwe mambumbumbu. utaifa kwanza there is nothing special with chadema or ccm
  7. M

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    anatafuta umaarufu jamii forum kwa kutukana na domo chafu. huyu ndiye anayetuzalilisha chadema na kutufanya chama kiwe cha kihuni. jenga hoja sio matusi
  8. M

    Mh. Mabumba, Mh. Manyanya & Mh. Mwigulu, Msituharibie CCM yetu!

    napenda sana tunavyojenga hoja wanajf but ukimuongelea sana m2 unampa umaarufu. wao wamerusha mawe wamesikia kelele wanajua yametupata. let us not finish our time sharing stupid facts
  9. M

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    ni vyema kutafakari zaidi. Matusi hayajengi maana tunaishia kuyasoma sisi wa JF. Ila ukweli tutaujua tu pamoja na propaganda zote
Back
Top Bottom