Search results

  1. herbert.kunda

    Serikali iangalie mgogoro wa mtwara kwa jicho la tatu

    Nakubaliana na Raisi mstaafu Mkapa kuwa viongozi na wananchi wa Mtwara na viongozi wa serikali wakae meza moja wazungumze.Huu kwa ujumla ni ushauri mzuri lakini tatizo hapa ni viongozi kuwa na majibu rahisi na ya kebehi kwa wananchi wakiongozwa na waziri wa nishati na madini.Kinachotakiwa ni...
  2. herbert.kunda

    Serikali iangalie mgogoro wa mtwara kwa jicho la tatu

    Naungana kwa dhati kabisa kauli ya raisi mstaafu Mkapa kwa upande mmoja serikali na wananchi kukaa meza moja kulitafutia ufumbuzi swala hili la gesi. Wananchi wa mtwara wana hoja ya msingi ya kujibiwa na serikali,sio majibu ya dharau,kebehi na kibri kuhusu hoja hii.Serikali isitumie ubabe hata...
  3. herbert.kunda

    "Hongera CHADEMA na DR. Slaa kwa kutojiingiza wala kuongea kuhusu Mtwara"

    Ndio inavyotakiwa hivyo sio kila kitu mnatoa tamko
  4. herbert.kunda

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Kwa kweli serikali inatakiwa iangalie hili swala kwa jicho la tatu,sio kwa majibu ya kibri na dharau ya viongozi wetu,ile ni mali ya wananchi lazima wasikilizwe
  5. herbert.kunda

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    ni giza nene kuhusu ukimya wa serikali yetu............hiii inaonyesha kuwa kwa namna moja au nyingine wanahusika
  6. herbert.kunda

    CHADEMA kutumia Helkopta nne katika M4C kushambulia mikoa yote Tanzania

    dah kwa kweli CCM watapagawa mwaka huu
  7. herbert.kunda

    Nissan Terrano Regulus for Sale (Just Imported)

    inategemea na mitazamo tofauti
  8. herbert.kunda

    Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

    chadema imeonyesha fikra mbadala ambazo zimeonyesha mwanga wa matumaini kwa watanzania waliochoka kwa dhiki na tabu nyingi.............
Back
Top Bottom