Search results

  1. Mbongo Asili

    Ningependa Kujua Asili?

    Salaam Ndugu kwaminchi, sasa basi niliwahi kuwasiliana na hawa marafiki zangu kutoka kenya na wamenieleza yakuwa Nyanya yao mzaa baba ndiealiyekuwa mmanyema, na babu yao NiMyao na ndio maana baba yao anaitwa Nkongoro mataka ambalo hilo ni jina la Kiyao, natumai sasa hivi hali itakuwa rahisi mno...
  2. Mbongo Asili

    KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    bwanaee centipede huitwa Tandu
  3. Mbongo Asili

    KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    Bwana mmoja hapa kasema eti thread ni utepe lakini la thread ni Uzi na utepe ni 'Tape', n kwa issue ya thread kama hizi za JF naonelea ziitwe 'nyuzi' kama ingewezekana. na mimi naulizaje Matongo kwa Kiingereza yaitwaje.....wanugu ebu niambieni....KTY (kwa taarifa yenu) nchi jirani kenya Nugu ni...
  4. Mbongo Asili

    Ningependa Kujua Asili?

    yawezekana kuwa pengine kachanganya Kabila baba mmanyema mama kawa myao hiyo issu ya ushirazi naona ni katika wale wanao taka uyakhe na uswahili, lakini kwa upande mwengine Baba yao yuaitwa Nkongoro Mataka ampbapo mataka ni machifu wakizamani wakiyao na pia yawezekana yakuwa Huo umanyema pengine...
  5. Mbongo Asili

    Ningependa Kujua Asili?

    Shukrani ndugu pengine nilisahau kukfafanua kabila lao maana niliwahi kuwadadisi na wakasema kabila lao hawana uhakika lakini wame wahi kumsikia baba yao akisema kuwa kabila lao ni WAYAO WASHIRAZI. jee lipo kabila kama hili umanyemani??? kabla sijaendelea ningependa kukuomba razi kwa usumbufu...
  6. Mbongo Asili

    Ningependa Kujua Asili?

    Shukrani kwaminchi, kwakuwa wew inaonekana kama mmanyema, Hii familia ikitaka kujua asili yake humu tanzania hasa ukoo wao watajuwaje kwani wanadai babu yao mmoja alikuwa akiitwa ALI KIRABIZA alikuwa mkaazi wa daresalaam sijui mtaa wenyewe lakini nitajaribu kufuata. babu yao mwengine aliitwa...
  7. Mbongo Asili

    Ningependa Kujua Asili?

    Shukrani kwaminchi, kwakuwa wew inaonekana kama mmanyema, Hii familia ikitaka kujua asili yake humu tanzania hasa ukoo wao watajuwaje kwani wanadai babu yao mmoja alikuwa akiitwa ALI KIRABIZA alikuwa mkaazi wa daresalaam sijui mtaa wenyewe lakini nitajaribu kufuata. babu yao mwengine aliitwa...
  8. Mbongo Asili

    Ningependa Kujua Asili?

    Ndugu zangu ningependa kujua asili ya majina yafuatayo. 1.Kayumba 2.Mwanantambwe. 3.Kirabiza 4.Mwacheseme kwa sababu nimewahi kukumbana na familia moja nchini kenya na majina hayo na wanadai eti wao ni wamanyema.
  9. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    nashukuru mungu kunibariki na ndio maana kumuacha inakua ngumu separation nafuu. Kumbuka Riziki ya Paka sio ya Mbwa
  10. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    smelly Feet !!!!!!hehehehehehehe fafanua zaidi
  11. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    boss, i felt like you one time but i realised Mganga huwa hajigangi,she always say that am extremely good in advicing other couples on how to keep and sustain there marriages, what i have come to realise is that all women are the same it is only the degree of characters and behaviour that vary...
  12. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    One good thing that my wife had, was that she gave me a present that not so many women give on the wedding day....she was a virgin and God bless her for that and am really greatful to that
  13. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    Yes i agree with your sentiments BUT what God has planned for me there is no way i can 'Unplan' or 'replan' it. and another thing my signature says LOVE IS BLIND BUT MARRIAGE IS AN EYE OPENNER.
  14. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    Hawa kukosea walipo sema subira huvuta heri na pia kumbuka juhudi haiondoi Kudura..vile vile Ngoma yangu, i believe ni kali na imepungua ili ku cope na yake heheeheehe ..wacha nika chume kidogo ndugu.
  15. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    i have to go and do some errands why don't we continue tomorrow
  16. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    i knew this after tying the knot and things started going out of my way. one day she told me that i was very lucky and i should thank one of her friends in UK who convinced her to marry me.
  17. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    Muko wapi ?
  18. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    well according to me she had friends who were married and had kids,and during that time she had a boy friend of different religion from her and i have come to learn that she believed that her boy friend had another girl friend and lastly her family wanted her to marry some one not of her...
  19. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    she could have been the last two i.e oppotunist and confused according to me and as to drinking i quited drinking 8 months ago...i dont smoke in the house.
  20. Mbongo Asili

    Naomba Msaada

    and am not moving out becoz of another woman, NO.
Back
Top Bottom