Nawaunga mkono viongozi wa cdm kwa msimamo wao, kwasababu wabunge wao wa mwanza walijeruhiwa, lakini mpaka leo polisisiemu hawajasema kitu. kesi ya ngedele kumpelekea nyani utakuwa unachekesha.
hallow kweli wewe akili yako ni sawa na urefu wa kidole chako kidogo. wenzio wamegoma kwasababu ya kukosa hivyo vifaa ambavyo kama vingekuwepo vingetumika kumtibia ulimboka pamoja na watanzania wengine,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.