Search results

  1. B

    Mramba kulia harusi ya mwanae keko hall!!!!

    Kama Mramba na mwenzake Yona wangelikuwa katika jela ya Sweden basi wangeliruhusiwa kwenda nyumbani na kukutana na wake zao wakati wa jumamosi na jumapili. Wangelipewa nafasi hii kama wangelikuwa hawafanyi fujo na ni wafungwa watiifu. Kwa hivyo hiyo harusi ya mwanawe pia Mramba angelijumuuka...
  2. B

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Tanzania ni nchi huru na kila mwananchi anaabudu anavyotaka bila ya kuzuiwa na serikali kwani katiba ya nchi haiingilii dini yoyote. Kama serikali ikiamua kujiunga na OIC watakofanikiwa si waislamu bali ni watanzania wote kwa mujibu wa katiba ya OIC. Kama wakristo pia nao watakuwa na mahakama...
  3. B

    Wachumi tuambieni

    Kwa ujumla thamani ya dolla inaongezeka sio kwetu Tanzania tu hata katika nchi za EU zote. Serikali ya USA, UK,France,Germany,Italy na kadhalika zimekopesha benki zao fedha nyingi sana ili uchumi wa ulimwengu usiharibike au kuvunjika kabisa. Ndio maana utaona sasa kidogo kuna nafuu hata huko...
  4. B

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Vijana Kama nilivyoandika hapo awali ni mfumo wa utawala wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) ambao unawabaisha hata mawaziri wa Zanzibar pamoja na wazanzibari wenyewe. Hili ndilo tatizo la muungano wetu mwaka huu wa 2008. Waziri Mkuu Pinda amabaye yeye mwenyewe ni mwanasheria na...
  5. B

    Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

    Enyi vijana naona mmeanza kuvuka mipaka. Kwa lugha sahihi ya Kiswahili huyo mnaemsema mmna maana ni "mtoto wa haramu". Mbowe mimi ni kwe wangu mkewe ni mtoto wa ndugu yangu. Dereva wa hayati Mzee Nyerere mimi ni shemegi yangu kwa bahati mbaya naye pia ni marehemu sasa ama sivyo ninelimdadisi...
  6. B

    BoT to ditch Mwananchi Gold, non-core functions

    BoT could provide loans to foreign gold mining companies operating in Tanzania.In this way it will be participating in the fight against poverty in Tanzania. Investing in gold can help BoT in building it's finance since the gold price is very high at the moment.
  7. B

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Mimi nashangazwa sana na tabia hii ya kurithiana vyeo hasa vya kisiasa. Watanzania itabidi tujiulize kuwa huko Tarime kuna watanzania wangapi? Au kuna ukoo tu wa kina Wangwe ambao ndio wao tu amabao wanawajibu wa kugombea cheo cha Ubunge wa Tarime. Raul Castro huko Cuba aliporithi cheo ya...
  8. B

    Call To All Professionals To Buy Nmb Shares Jointly

    Elimu ya kununua na kuuza shares ni mpya Tanzania.Kama wengine walivyonenna kwamba ni watu wachache tu wanaojuwa. Mara nyingi ukinunua shares za kampuni fulani lazima uzifualize mara kwa mara ili uone zinakwendaje. Shares nyingine zinaweza kupanda asilimia mia kwa mwaka mmoja na mwaka wa pili...
  9. B

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    MP Wangwe`s burial put on hold 2008-08-01 10:49:29 By Bigambo Jeje, PST, Tarime Arrangements for the burial of Tarime legislator Chacha Zakayo Wangwe (52) were shelved yesterday following demands by members of his family for a police report with full details on the cause of his death...
  10. B

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Vijana! Swala hili la Zanzibar linataka turudi nyuma na kuangalia mfumo wa utawala mara tu baada ya kuundwa Tanzania. Tunaye mkongwe wetu wa siasa Mzee Kawawa ambaye bado yuko hai. Tatizo la sasa hivi ni kwamba Tanzania ina ma-rais wawili, rais Kikwete na rais Karume. Zanzibar ina mawaziri wake...
  11. B

    JK: Vumilieni shida

    Hizi habari zilizoandikwa hapa juu za "ngono" zinazomhusu kiongozi,rais Kikwete zinasikitisha mno. Lakini ndio viongozi wetu wote wa Afrika walivyo! Kama yeye anamke au wake wa kiarabu basi twamwambia kwa lugha ya kiarabu kwamba ameambiwa LA TAKABBAR ZINAA. Msijishughulishe na mambo ya zinaa...
  12. B

    Kuvamiwa kwa Ofisi za Mwanahalisi na Polisi

    Hawa CID wetu hawana kazi nyingine? Huu mchezo wa kuvamia computer ya watu umeanza lini? Walikuwa wapi wakati mafisadi walipochukuwa mamillioni ya umma na kutia katika account feki? Kitendo hiki ni kibaya sana kwani kinaonyesha kwamba serikali yetu inawalinda vigogo mafisadi na kuwadharau...
  13. B

    How to avoid the oil curse

    Hao ndugu zetu Wanzanzibari wana akili za ABUNUWASI. Ule mtumba umejaa hayo mafuta "bubu". Kwa hakika wanajisumbua bure kama kuna kitu kati ya ufukwe wa Tanganyika na ufukwe wa visiwa vya Pemba na Zanzibar sio "petroleum" bali ni "gas" tu kama ile ya Songosongo. Katika uchimbaji na utafiti...
  14. B

    Rais wangu Kikwete chagua bega au kwaheri ya kuonana

    Washwahili tunao msomo wetu kwamba MAJUTO NI MJUKUU. Mtu ukiachiwa radhi mara nyingi unakaa chini na kuwaza kile ambacho kilikufanya uwachiwe radhi. Mafisadi ndio walioachiwa radhi na pia kulaaniwa kwa vile ule ufisadi uliotokea wa Richmond ulifanyika wakat wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Dua...
  15. B

    Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

    Jamani kuna tafauti kubwa sana kati ya CCM na ZANU-PF. Mugabe na ZANU-PF imeweza kuifanya nchi tajiri Zimbabwe kuwa nchi duni Afrika na watu wake kuwa ni masikini wa mwisho duniani. Fedha ya Zimbabwe haina thamani yoyote hivi sasa. Zimbawe ilikuwa ikiweza kuvuna mahindi mengi sana na kuyauza...
  16. B

    Ikulu yaahirisha Press Conference

    Jamani tuna akhirisha hiyo Press Conference bila ya kutuwa ni kwa sababu gani imeakhirishwa. Kwa hivyo Mkurugenzi huyo wa IKULU hana jambo lolote la kusema. Haya ndiyo mambo ya Tanzania na serikali yetu hii. Kila kitu ni siri na siri inapofichuka basi inakuwa ni mzozo wa Richmond,BOT au EPA...
  17. B

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Haya nduguzanguni someni wenyewe hapa muelewe zaidi.Umasikini uko wapi?Ni uzembe wetu tu sisi wananchi! Kashfa ya mgodi wa dhahabu Buhemba, bilioni 30/- `zaliwa` 2008-05-11 12:06:39 Na Mwandishi Wetu Kashfa ya ufisadi katika mgodi wa dhahabu wa Buhemba ulioko mkoani Mara, umesababisha...
  18. B

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Mara nyingi sana tunaambiwa Tanzania ni nchi masikini sana duniani. Sasa kweli kama nchi yetu ni masikini Mkapa angepata wapi hizo milioni 70 za jununua mgodi wa Kiwira ambao ulikuwa na thamani ya milioni 700. Kwa vile Mkapa hajuwi hesabu basi ile sifuri ya mwisho aliiondoa akalipa tu milioni 70...
  19. B

    Waziri Ashangaa Kuhusu Polisi!!!!!!

    Hii habari ya kuwa polisi wetu wengi wana elimu duni si kioja.Kwani Mawaziri wetu wengi pia hawana shahada za vyuo vikuu na wanaongoza watu ambao wana elimu kuliko wao. Pia Wabunge wetu wengine wamemaliza tu primary school. Kwa ukweli sana tukio hili la kuwa polisi walipe kwanza na halafu...
  20. B

    AU tumeni majeshi Somalia

    Congo is a headache for the UN and Au as well. The UN forces have been in Congo since the 1950’s the time of Shomble and we are now in the year 2008. Is there any peace in Congo? Somali is following similar trends as Congo and it will take decades to solve the problem in Somalia, if at all it...
Back
Top Bottom