Search results

  1. M

    Sababu 7 kwanini maandamano Aprili 26 ni vigumu kufanikiwa

    Serikali inapoteza nguvu bure kuwaza kitu kinachaandaliwa na punguani.Iko siku watu watakuja kujua jinsi huyu mtu alivyowarudisha nyuma maana ataaifanya serikali kupambana na watu wa mitandao ambayo ni muhimu kwenye mawasiliano. Unasema kutakuwa na maandamano nchi nzima na bila kikomo lakini...
  2. M

    Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Issue kubwa nadhani ni mis reporting and double reporting kama report ya CAG inavyoonyesha. Kama TRA ime mis report pesa ambazo sizo zake na zile taasisi husika nazo zikareport lazima kuwe na double reporting. Obviously lazima hizo zilizokuwa double xounted usizione. Ila watu hawasemi ukweli...
  3. M

    Serikali: Kuanzia Januari 01, 2018 kodi ya nyumba za kuishi na ofisi, bei ya ardhi, gharama za elimu/afya n.k ziwe TZS

    Ukibahatika kwenda nchi za wenzetu pesa ya kwao ndio kila kitu. Hakuna mtu utakuta anapokea pesa ya kigeni ikiwemo dola. SA ni mfano mmoja wapo na Canada kama una US dollar hata maji ya kunywa huwezi kununua. Unahitaji canadian dollar tu. Kwa wanaopinga hivi hawa wenzetu wote ni wajinga kweli.
  4. M

    Libermann Secondary School Goba

    Nilikuwa kwenye kutaka kuijua shule lakini bahati mbaya taarifa niliyopata kwa mtu wa kwanza ni hizo. Sasa kumpata mwingine ni ngumu zaidi ya kutumia jukwaa. Sorry kama sikutakiwa kuuliza hadharani but privately unaweza mtu yeyeyote hanisaidie
  5. M

    Libermann Secondary School Goba

    Samahani sana kama nitakuwa nimeeleweka vibaya. Nia yangu sio kuhusisha taasisi ila najua ni wanafunzi wenye tabia chafu ambao wanatakiwa kusimamiwa vizuri ili wasiwe na tabia hiyo. Ndio maana nikamua kuuliza kwa wenye uzoefu na hiyo shule.
  6. M

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Ni kweli mko wengi ndio maana hata Kakobe ana wafuasi
  7. M

    Libermann Secondary School Goba

    Nilikuwa nimepata nafasi ya mtoto kwenda Libermann Secondary pale Goba. Kwa wenye uzoefu na hii shule kitabia na malezi ya watoto anisaidie?
  8. M

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Kakobe kafifia sana kwa sasa. Nadhani kwa akili yake ameona akianza kuongea mambo hayo watu watamkumbuka kidogo
  9. M

    Lissu: 95% ya madini yetu yanaibiwa hapa nchini, Magufuli amekomaa na 5% sababu tu yanatoka nje

    Sasa hivi kuna makundi matatu makubwa 1. Watanzania wazalendo wana pongeza juhudi za rais 2. Watanzania wazalendo wanao watetea wezi wa madini kwa kigezo kuwa tuliingia mkataba 3. Watanzania wazalendo wanao watetea wanao watetea wanao watetea wezi wa madini kwa kigezo kwamba wana akili sana...
  10. M

    Lissu: 95% ya madini yetu yanaibiwa hapa nchini, Magufuli amekomaa na 5% sababu tu yanatoka nje

    Sijui unataka kujua nini lakini awe yoyote aliye sign lazima tusahisishe hata kama kuna makosa. Kama una ushabiki wa vyama sijui kama unaelewa kuwa watu wanahama kwenda kokote. Hii haina kipaumbele kwa sasa. Kwanza tuzuie ndio tuwatafute. Rais alichofanya ni kitu cha kupongezwa na kila mpenda...
  11. M

    Lissu; Nia njema ya Magufuli inatupeleka pabaya

    Ripoti ya Mruma ni ya rais ili kujibu swali la kiasi gani kimo kwenye mchanga baada ya vyombo vilivyopo kisheria kutotimiza wajibu wake. Tundu anakili kwamba TRA TMAA etc ndizo zipo kisheria kutoa report. Kitu anachojisahulisha ni mamlaka ya rais ya kuteua hizo taasisi. Hata leo akitaka prof...
  12. M

    Masaju, Uttoh, Chenge, Lissu: Hatuna chetu kwenye mchanga shida ni sheria hatutashinda kokote kule.

    Hakuna mtu ana bisha mchanga kuwa wao kimkataba. Sisi shida yetu ni kujua ukweli wa wanachochukua ndani ya huo mchanga ili gawio letu pia liwe la haki. Wanasheria ni vilaza wa hesabu lakini kweli mbashindwa kujua hata hesabu rahisi hizi za %? Hakuna anayetaka kuwadhulumu wala kudhulumiwa. Kwa...
  13. M

    Kesi ya ACACIA

    Nasikitika kuona mtu anasema eti madini ni mali ya wawekezaji. Huu ni ujinga tulio jengewa tayari. Serikali kwa taarifa yako ni mubia namba moja wa hii migodi na wala hawajauza madini kwa acasia. Wamepewa wawekeze kwa kuleta mitambo ya kuchimbia faida tugawane. Shida ni pale wanaposema wanatumia...
  14. M

    Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

    Wewe usiye mpuuzi kama mrahaba ni 4% ya anachokipata anaposema anapata kidogo wakati anapata kingi tunaibiwa au hatuibiwi?
  15. M

    Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

    Kuna tafakari zaidi ya kuunda tume ya wataalamu watoe ukweli? Wao wanaposema kuna dhahabu kidogo walijuaje kama hawajapima? Tena wajanja wana sema ni SGS wanapima ili kujivua lawama. Hii sasa ita trigger tufanye upimaji wa pamoja na tukiwa sahihi watatulipa tozo zote za nyuma ama sivyo...
  16. M

    Nipo tayari kukosolewa: Rais Magufuli kama kawaida ameongozwa tena kwa chuki, hasira na pupa!

    Halafu nadhani hii kamati ili kuwa na kazi moja tu ya kutafiti kiwango cha madini yaliyomo kwenye mchanga. Kamati ya mikataba na mengineyo bado inafanya kazi yake. Kama utafiti ni kweli basi tayari tumeshapata facts ambazo tulikuwa tunanyimwa siku nyingi. Hiyo sasa ya kuvunja mikataba au...
  17. M

    Social Media Reactions: Nape, Zitto, Tundu Lissu na wengine wampongeza Rais John Magufuli

    Waandishi wao wako hapa hapa nchini. Hii imeandikwa na Mohamed
Back
Top Bottom