Search results

  1. M

    Natafuta mume, nina miaka 24

    Hello!Mimi nipo tayari. Njoo DM tuyajenge.
  2. M

    Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

    Huyo kasemea Bungeni kwa sababu ana Kinga. Hoja hiyo hawezi kuiongelea nje ya Bunge. Angeitisha Press Conference halafu akaongea hiyo hoja hapo ningemuona wa maana. Kinachoendelea Bungeni ni Maigizo tu ili kuwahadaa Watz kwamba Wapinzani sio muhimu hata Wabunge wa CCM wanaweza kuikosoa Serikali.
  3. M

    Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

    Mwanamke ni Kama kivuli.Ukikifuata kinakukimbia na ukikimbia kinakufuata. Nakubaliana na ushauri wa mtoa Post.
  4. M

    Ripoti aliyoiwasilisha shahidi Cpl. Hafidh ilitakiwa kuwasilishwa na Ofisi ya DCI

    Hivi Hivi unaelewa ulichoandika? Hiyo Silaha ilitakiwa ifanyiwa Finger Print ili kubaini mmiliki wa hiyo Silaha Kama kweli ni Adamoo. Uchunguzi wa Finger Print haukufanyika. Sasa huyo unayesema atakuja kuilink hiyo Silaha na Adamoo atatumia njia gani ?
  5. M

    Kumhamisha Mbunge Humphrey Polepole kutoka Kamati ya kudumu ya Utawala bora na Serikali za Mitaa kumelenga nini?

    Hiyo ni demotion kwake. It seems that jamaa hawamuamini tena.
  6. M

    Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

    Kaka, kabila la WARANGI hujalipa heshima yake katika utafiti wako. Maana nimetafuta kuanzia mwanzo mpaka mwisho sijaliona kabisa.
  7. M

    Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

    Mbn kabila la Warangi halipo kwenye huo utafiti ?
  8. M

    Je, kuna uhusiano kati ya mwanamke kuwa muasherati na kabila analotoka?

    Habari zenu wana jukwaa. Ni matumaini yangu weekend imeenda vizuri kwetu sote. Kwa wale ambao weekend haikuwa nzuri kwao kutokana na matatizo ya kiafya basi nawaombea Dua Mungu awaponye. Nirudi kwenye mada yetu kama inavyojieleza hapo juu. Nianze kwa kusema kuwa nimekuwa nikikutana na hoja...
  9. M

    Hivi wanawake wa Kimasai nao wanachepukaga?

    Mbn warangi kila mtu anawasema vibaya? Hivi haya yanayosemwa kuwahusu warangi ni ya kweli?
  10. M

    Mke mwema anahitajika

    Kuna watu ninaowajua walifahamiana kupitia ukurasa huu huu kisha wakafunga pingu za maisha na mpaka sasa hivi wana watoto watatu. Maisha yao yapo safi tu. Mke mwema anapatikana popote pale. Kuna watu wamewapata wake zao katika nyumba za Ibada lakini hawakuweza kudumu katika ndoa zao hata mwaka...
  11. M

    Mke mwema anahitajika

    Hapana kuwa na amani kabisa. Mie naamini katika moyo mmoja mwanamke mmoja. Karibu sna.
  12. M

    Mke mwema anahitajika

    Pamoja sana mkuu.
  13. M

    Mke mwema anahitajika

    Siwezi kufake life coz I'm not dramitizing here. Hayo maisha wanayaweza wasanii kaka. Kuuvaa uhusika usiokuwa wako inahitaji ujasiri wa aina yake.
  14. M

    Mke mwema anahitajika

    Muislamu
  15. M

    Mke mwema anahitajika

    Ahsante sana mkuu. Haitakiwi kukata tamaa. Jambo la msingi ni kumtumainia Mungu tu .
Back
Top Bottom