Search results

  1. P

    Polisi Mwanza yawasaka Sheikh Ilunga, Askofu Mpemba kwa uchochezi

    mpemba na Ustadhi Ilunga nani mchochezi?polisi bwana wanafanya kazi kwa kuogopa watu,sasa wanafanya kazi ili kuridhisha baadhi ya watu. hapa mmoja anasema polisi akikamata / kuuwa sheikh wewe nenda kamata padr/kadinali/askofu /mchungaji ua, Mwingine anawambia waumini wake kuchinja myama wako...
  2. P

    Nahisi harufu ya DAMU!!

    ukimtaja Nyerere wakakusikia hao wanaosema kawakandamiza atakwambia una mfumo kristo,wewe haya ,manake kunawatu wameisha jiandaa kuimalizia hii amani ndogo iliyopo kwa kisingizio walionewa sana.
  3. P

    Mhe. Rais Kikwete na ziara ya Mabwepande

    Siasa siyo uadui,japokuwa kigwangalla na bashe walishikana bastola ila ata wao ukiwauliza watakwambia ilikuwa utani tu
  4. P

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    watu wengine ubongo wao umeoza kwa udini, yaani mtu analalamika katoa pesa yake kanywa uchafu, mwingine anakuja kuleta sababu za udini,mijitu mingine bwana sijui ina kuwaga vipi?hii ndiyo kila watoto wao wakifeli shule inasema wameonewa ata kama watoto hamna kitu kichwani
  5. P

    Vodacom wamezidisha wizi

    Duh voda ata mimi nimeliwa buku 2,bila ata kupiga simu zaidi ya kutuma msg moja, na hii ni mara ya pili sema tu naondoka tz ila nikirudi nadhani nitawahama hawa jamaa.
  6. P

    Mawakili: Membe ashitakiwe kuhusu maadui zake ambao amesema atawatwanga

    Polisi ya double standard hii, kwani lwakatatare nani alienda kureport? siwameipata kwenye U tube tu wakatekeleza, sasa kwanini zingine mpaka watu wakatoe taarifa police ndio washughulikiwe?
  7. P

    Maisha ya Papa mpya

    Mungu amtie nguvu kwenye shughuli zake za kitume,asa kipindi hiki ambapo kanisa lia majaribu mengi,waswahili tunasema mti wenye matunda ndio unapigwa mawe,so hatushangai watu mbali mbali na vyombo vingi vya habari vikiwa vinatafuta habari negative za ukatoriki na papa.
  8. P

    Edward lowassa ndani ya ukumbi wa triple 'a' jijini Arusha.

    mapokezi maeneo ya mushono
  9. P

    Edward lowassa ndani ya ukumbi wa triple 'a' jijini Arusha.

    mapokezi maeneo ya mshono
  10. P

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    Wameona kila wakienda bungeni wapinzani wanawatoa jasho na kujichukulia point muhimu, so ili kuficha aibu inabidi wasitishe kurusha vipindi live, kingine ni kuficha aibu ya waziri mkubwa, uwa akibanwa maswali vizuri anabakia kutoa chozi so wanamsitiri mkuru. Pia madamu thenkyuu veri machi na...
  11. P

    Zuku TV:MATAPELI?

    Pole na Aksante kwa taarifa kwani namimi nilikuwa katika jitiada za kujiunga na hao Zuku,
  12. P

    Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

    Hivi Nyerere angekuwa mdini, angemuachia nchi "mchungaji" Hassan mwinyi kweli kile kiti? Tazizo kuna watu wao wanatizama kila jambo kwa macho ya ubaguzi wa udini tu, wewe kama haupo nao imani moja ata ufanyeje hautakubarika machoni kwao.
  13. P

    Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

    Wazo mbadala wewe zanzibar huru? Ulitaka afanyeje? Watu wengine mpo ku katisha watu tamaa tu na ku critisize, na hamtoi the way foward
  14. P

    68% of Arab-Israelis prefer to live in Israel

    Hivi tukijadili hii Mada kama UAMSHO wanavyotaka kuijadili kwa sababu ya udini hatuta kubaliana, tutaishia kutukanana na kashfa tu, Tuyaangalie haya mataifa mawili bila kuingiza udini.
  15. P

    Israel kills Hamas Military Chief Said Khalil al Jabari opening 'the gates of Hell'...

    Obama ndio aliwatuma Hamas waanze vita? Wacha wanyooshwe kwanza hao palestina ndio wajue waarabu wenzao wanawadanganya tu ila kwenye shida hawawasaidii, Waarabu ndio wanawapa kiburi HAMASI
  16. P

    Israel kills Hamas Military Chief Said Khalil al Jabari opening 'the gates of Hell'...

    Bujibuji hacha hasira, ebu nipigie simu tufanye mipango ya kwenda gaza.
  17. P

    Iran nuclear energy program peaceful: Admits IAEA chief!

    Funguka mzee usomeke Mimi naona mtoa mada yuko sahihi sababu msimamo wa Democratic upo clear kuwa no war, but Republican Romney alisema kabisaa wazi , lazima angetia majeshi Syria na Iran, kama ulikuwa unafuatila vizuri zile debates
  18. P

    Iran plans to launch satellite to GEO: IRGC chief

    Lakini week chache zlizo pita wananchi wa Iran walikuwa wanalia kuwa khali ya uchumi siyo nzuri, na pia kushuka kwa thamani ya pesa yao dhidi ya USA dollar,so bidhaa na uduma zimepanda bei gafla zaidi ya 50% Pili kabla ya USA election, Aljazeera walionyesha maonyesho ya ndege, manwari na meli...
  19. P

    HATARI: Kuna watu wanatumia URANIUM kwenye MAZAO YA CHAKULA

    Askofu itisha maombi hapo Mwenge kabla ya mwisho wa mwaka huu, naona mafisadi wametamalaki sasa
Back
Top Bottom