Search results

  1. pixel

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Wadau naomba kujua sheria ya kazi inasemaje kwasasa hivi kuhusu 1.Notice of termination. 2.severance pay.
  2. pixel

    Tundu Lissu: A Glitch in the Matrix

    Comment zote ziwe Za kingereza,asiejua kingereza asikoment kabisa.
  3. pixel

    Mkuu wa Majeshi na Ulinzi (JWTZ) kwenda Wilaya ya Kibiti Leo

    Tokea imetungwa sheria ya mtandao,JF GREATEST THINKERS wameamua kukaa kimya,lasivyo tungeshapata majibu na mbinu za kuwadhibiti hao jamaa siku nyingi sana hapa.
  4. pixel

    Sakata la Kagera: Simba SC tutatumia Dola Elfu 15 kuipeleka barua FIFA

    Hili jambo litaidhalilisha sana TFF huko mbele.
  5. pixel

    Shibuda atakuwa ameelewa, kwamba chama ni zaidi ya mtu

    shibuda inabidi akumbuke "mbio za sakafuni.........".yupo kimyaa anadhani watu hawajui kilichompata teh teheeee..!
  6. pixel

    Home Shopping Centre yakanusha kuhusika na ukwepaji kodi, upotevu wa makontena bandarini

    Ndo mlileta kauli hizo nchi ikaoza,mtu binafsi akashitaki ukwepaji wa kodi?mpe vyombo vya ulinzi na usalama ili akusanye taarifa zote.usiongee kama nchi ni mali yenu peke yenu.
  7. pixel

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    "Ukitaka kumsaidia mtu mjinga mlazimishe ikiweze hata kwa mijeledi ili atambue na kuacha jambo baya,ipo siku akielevuka atakushukuru"....By me to JPM.
  8. pixel

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    "Ukitaka kumsaidia mtu mjinga mlazimishe ikiweze hata kwa mijeledi ili atambue na kuacha jambo baya,ipo siku akielevuka atakushukuru"....By me to JPM.
  9. pixel

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Asiposema tutajuaje mlengo wa serikali yake?au aanzenze kuwaita watendaji wa serikali mmoja mmoja kuwaeleza kuwa hataki safari za nje?Magufuli yupo sahihi sana.
  10. pixel

    Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Ili uwe mwanasheria mzuri,inabidi ujue hivi vyama vina ngazi ya tawi,shina,kata,wilaya,mkoa,kanda hadi taifa.Na unapoanza kutuhumu au kutetea jiridhishe kuwa unatetea au kutuhumu ngazi ipi.Sisi tusio na elimu tunawategemea sana nyie mliosoma mchambue vizuri tuelewe.
  11. pixel

    Tigo leo mmeniharibia sana

    Leo ndo mtaona umuhimu wa ma-Engineer!watu huwa wanadhani mambo yanajiendesha yenyewe kumbe kuna watu hawalali.
  12. pixel

    Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

    Jeshi letu liko vizuri.achana na mambo ya makaratasi.
  13. pixel

    Kamati Kuu ya CCM yateua wanaCCM katika nafasi mbali mbali

    sijawahi kuona ukiitetea nchi lizaboni.uhodari wako uko wapi?
  14. pixel

    John Mnyika acha kudharau elimu ya Tanzania

    Post ya mnyika ni nyepesi sana kuielewa,tatizo joto la uchaguzi lipo juu sana kila mtu amepanic.
Back
Top Bottom