Search results

  1. S

    Sasa Lema, Nassari na CHADEMA wataamka?

    mimi bado naamini ccm hawashindi uraisi 2020
  2. S

    Barabara za Marekani hazilali kwa kuingiza pesa; kwanini tusiige?

    toll gate afrika kusini imeanza zamani sana
  3. S

    Zenda aongoza wasomi vyuo vikuu kumuunga mkono Rais Magufuli

    Hao wanaojiita wasomi wameelimika au ndio takataka tu
  4. S

    Hii ndio sababu kuu ya kushinda CCM na kushindwa kwa upinzani nchini

    mapunguani wapo wengi sana ,Yani mtu anaiba mtihani ALAFU akifaulu anajisifia
  5. S

    Jicho la ndani: Sababu za kitaalamu za kushindwa kwa CHADEMA na UKAWA katika uchaguzi mdogo

    nyie pigeni kelele lakini 2020 kutakuwa Na time huru ya uchaguzi Na huo ndio utakuwa mwisho wa ccm
  6. S

    CCM hawawezi kutawala milele wataondoka tu, nasema wataondoka

    2020 naona ndio itakuwa mwisho wao,hawata amini kitachotokea
  7. S

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA na kuivunja Bodi

    mmm Mimi sioni uwezekano wa NCHI ya viwanda,kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini sijui kama wawekezaji wanaweza kuja, mpaka sasa bado sijasikia mikakati yoyote ya nchi ya kusadikika ya viwanda.NASIKIA wanataka kupandisha bili ya umeme
  8. S

    Rais Magufuli aiunga mkono Zanzibar, Shein asaini uchimbaji mafuta

    sawa wanafiki wa muungano muda ukifika wataumbuka tu
  9. S

    Si mbaya nikiamini katika miaka 10 ijayo issue ya viwanda itakuwa kama kilimo kwanza

    eti viwanda , mwaka umekatika bado sijaviona. ,kwa hii CCM ninayoijua Mimi mtasubiri sana sasa ajenda imebadirika toka NCHI ya viwanda hadi kupambana Na vyama VYA upinzani
  10. S

    Arusha City in photos and its wildlife

    Huu mji wa Godbless lema napenda sana, licha ya maisha KUWA juu kidogo
  11. S

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    kwanini kwenye historia hawaweki kama yeye (sitta) ndio alivuruga bunge la KATIBA?
  12. S

    CHADEMA mtaanguka vibaya sana 2020 kama msipobadili aina ya ukosoaji kwa Rais Magufuli

    2020 ndio mwisho wa CCM itazikwa rasmi kama KANU MCP NA UNIP ya zambia
  13. S

    Pendekezo: CCTV zifungwe Highway kupunguza ajali

    acha upumbavu high way zenyewe ziko wapi?
  14. S

    Waziri Mwijage: Kweli mizigo imepungua na wenye malori pakini malori hadi hali itakapotengemaa

    Mimi naona bandari ya DSM inamsululu wa kodi hivyo ili uweze kufanya biashara ilikuwa lazima uzikwepe kwa kutoa rushwa sasa siku hizi huwezi kukwepa kodi kirahisi kwahiyo option iliobakia ni kuhama bandari.kwa kifupi gharama zetu zipo juu kulinganisha Na majirani zetu
Back
Top Bottom