Search results

  1. M

    NBC kumaliza mkataba na Erolink

    Oh! Kaka Maege, ulipotelea wapi ndugu? Nimefurahi sana kuona uzi wako leo. Uliacha historia kwenye uzi fulani wa mwaka jana. Sidhani kama kuna mtu kaivunja historia ile. Sina updates za uzi wa leo ila JF ni kila kitu. Majibu yatapatikana. Ahsante.
  2. M

    Natafuta kazi

    Si busara kutoa jibu kama hili ukizingatia mtoa mada amejieleza vizuri na yuko serious. Mtoa mada usikatishwe tamaa na watu kama hawa, kazi utapata na naunga mkono ushauri wa mchangiaji wa kwanza. Kila la kheri ndugu yangu, Mungu akutangulie.
  3. M

    Mimi ni mwanafunzi niliemalza kidato cha sita na kufanikiwa kuingia chuo kikuu ila nsina uwezo

    Ni kweli ndugu SAMITI, tunahitaji kufikiri sana namna ya kuwasilisha ujumbe wetu, hasa tunapokuwa na shida
  4. M

    Mimi ni mwanafunzi niliemalza kidato cha sita na kufanikiwa kuingia chuo kikuu ila nsina uwezo

    Dada yangu Jamii Forums ina watu wa kila aina:- Wazito, wasomi na wasio wasomi. Lugha ya kihuni unayotumia inaweza kukukosesha msaada unaohitaji. Mfano kwa Waziri au Mkurugenzi atakayeona uzi huu hata kama alikuwa na nia ya kukusaidia anaweza kutofanya hivyo kutoka na Lugha ya dharau...
  5. M

    Msiokuwa na kazi na mnajidekezadekeza kitaa huko soma hapa!!!!

    Aisee hauko peke yako. Mwenyewe kanipa moyo kuongeza juhudi za u afutaji. Ubarikiwe mtoa mada, umefikiria mbali sana. Thx.
  6. M

    Naombeeni ushauri wa kikazi.

    Hauko peke yako ndugu, mwenyewe huwa naudhika vibaya mno. Aache ujinga wake, anakera sana.
  7. M

    Shukrani kwa JamiiForums

    Umeuchinja kijana, hawa jamaa wanalipa vizuri sana na sio wababaishaji. Kazi njema.
  8. M

    Nafasi za kazi Family Health international

    Nimeipenda hii ndugu yangu, aluta continua
  9. M

    Nafasi ya Kazi

    Thanks, stay blessed
  10. M

    seariching for a job

    Ndugu kwa nini usingeandika Kiswahili? Mbona mnaharibu lugha za watu kwa kuziparamia.
  11. M

    Taarifa kutoka kwa waliochaguliwa Sao Hill

    Mkuu unaulizia post gani? Mimi nilifanya nao interview tarehe 10/07/2012 nafasi ya HRO japo majibu bado hawajatoa.
  12. M

    Nafasi ya kazi ya Umeneja

    Kuweni makini vijana. Hizi nafasi wanazotangaza kabla ya mradi kuanza mara nyingi zinakuwaga changa la macho. Mnazikumbuka zile za mwez wa nne za Bukombe? Nazo ilikuwa hiv hiv. Fanya application ila wakikuomba hela usithubutu. All da best.
  13. M

    Clinical Assistant

    Andika vizuri heading yako ili wadau wakipita wajue unataka nini na watakusaidia. Ila kwa kuandika heading yenye utata kama hivi unaweza kukosa msaada. Al da best.
  14. M

    Mwenye uelewa kuhusu watu walioitwa kwenye usahili-idara ya uhamiaji.

    Aiseee! Mwenyewe nimekuwa nikipitia comments zake nyingi hapa JF na nilijua ni m2 aliyeajiriwa tena post kubwa sana hapa TZ, Kumbe naye bado ni mlamba nyayo. Pole sana ndug ila utapata. ni hayo tu.
  15. M

    Ushauri plz! Umefanya usaili then unaambiwa utoe hela ndo upewe ajira!

    Ndivyo great thinkes tunavyotakiwa kufikiria. Mwambie asitoe pesa. Ushauri wa huyu mdau ndio anaotakiwa kuzingatia.
  16. M

    Project Manager/Coordinator

    In addition to that: No location
  17. M

    tunatafuta kazi na wengine wanategemea kunufaika na sisi....

    Ni kweli hawa jamaa inawezekana hawapo Dar. na inawezekana na zile nafasi za Bukombe walitoa hawa hawa na walidai wapo SHINYANGA.
Back
Top Bottom