Search results

  1. Pangaea

    Watu walilia elimu imeshuka sasa mabadiliko yanafanyika vipi tena?...

    Nchi imegawanyika! Ukiliangalia tamko la hivi karibuni la waziri wa elimu na ukiwasikiliza baadhi ya wadau, utadhani kuwa waziri katangaza uamuzi wa haraka unaominya haki ya elimu kwa watu wa nchi hii. Lakini kwa wengine huu ni uamuzi sahihi. Kwetu sie ambao tunaujua mfumo wa elimu na matunda ya...
  2. Pangaea

    Je, Ninaweza kuwa advocate?

    Wakuu, salaam. Nina shahada ya kwanza Elimu ya pili katika HR. lakini maishani nimetamani kuwa lawyer ingawa sikufanikisha kutokana na circumstances anuai. Naomba mnijuze kama nikifanya postgraduate diploma(PGDL) mfano hapo out ndoto yangu inaweza kutimia? Ama mnanishauri nifanyeje.
  3. Pangaea

    Saa nyingine Kikwete ni mkweli.

    Akihutubia katika maadhimisho ya miaka 36 ya CCM Mwenyekiti wa CCM amewaeleza wazi wana CCM kuwa UPINZANI Tanzania unaimarika kwa kasi na hivyo ni lazima wana CCM wajipange kupata vyanzo vingine vya mapato; Hapa kaona ukweli kuwa 2015 watapoteza sana, na idadi ya wabunge wao itapungua na hivyo...
  4. Pangaea

    Ratiba ya Tume ya katiba Arusha.

    Kwa wana jamvi mliopo Arusha mjini, kama kuna mwenye taarifa kamili na ratiba ya hii tume ya kukusanya maoni ya katiba tafadhali atuwekee hapa. Nimejaribu kupitia mbao za matangazo sijaona chochote.
  5. Pangaea

    Kweli kiswahili kitatufikisha nchi ya ahadi?

    WanaJF. Nipo kando ya TV ninafuatilia majadiliano bungeni. Ninaona waheshimiwa kadhaa wananadai nchi hii itaendelea iwapo Kiswahili kitaenziwa. Ninatambua umuhimu wa lugha kama chombo cha mawasiliano na nionavyo hapa Tanzania hatuna tatizo la uelewa wa Kiswahili. Pia sheria, vitabu vya...
  6. Pangaea

    From the House [Mjengoni] this evening

    Finally the Parliament has passed the 2012/13 budget with almost all CCM MPs voting in fevour of the financial bill. In fact these are the results as announced by the Hon. Madam Speaker. Votes YES - 225 NO - 72 ABSENT - 54 -----------------------------------------------------...
Back
Top Bottom