Nimemsikia Shaffih Dauda akidai Messi alistahili tuzo hiyo kwa sababu Roben na Muller vigezo vyao vilikumbana na tabia zao za kujirusha ama kulalamikia maamuzi yanayotolewa.
Nadhani hata kama Gwajima si memba JF lakini wafuatiliaji wa mambo watafikisha ujumbe; ni sahihi kabisa kama mtumishi aliyetukuka awe wazi juu ya hii skandali.
Tujadili hili; katika harakati, mikusanyiko au hata maandamano yasiyoruhusiwa askari watajaribu kutawanya wahusika kwa kutumia 'mabomu ya machozi? au risasi za moshi?'. Maneno yapi huenda yanastahili kutumika.?
Mara nyingi ndani ya vyombo vya usafiri hasa daladala utasikia abiria anatamka shusha kituo fulani ama acha kituo fulani. Ni neno gani hasa linapasa kutumika?
Chelsea captain John Terry has been not guilty of racially abusing fellowa footballer Anton Ferdinand during a Premier League game.
We are pleased that John can now put his mind back to football return to training and do what he has been doing for years.
Source: Skynews
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.