NIONAVYO MIMI.
Dr yeye kwa sasa amejitoa kwenye yale makundi yao nadhani ana mpango wa kujiunga na Mr Sitta,ataonyeshaje amejitoa kundini ni kwa kuwachukulia hatua wale wote ambao inafahamika wamewekwa kwa faida ya kundi fulani.Kwa maana nyingine ameamua kujitoa mhanga ili kulionesha...
Inakuwa vigumu sana kwa walioko katika nafasi ya kupambana fedha chafu kwa kuwa hakuna alie msafi anaeweza kumfunga paka kengele.
Jua kuwa kama wewe unafahamu uchafu wangu tunakaa meza moja kutengeneza mikakati ya kupambana na fedha hizo huku ukijua kuwa nyuma ya pazia mimi na wewe ni miongoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.