Search results

  1. mangikule

    RC Makonda: Nyie Wafanyakazi wa TRA mkistaafu mtakuja Kuwa Wafanyabiashara hivyo tendeni Haki mkijua kuna kesho!

    Huyu anatafuta wafanyabiashara wa kuwapiga kama kina Mo na GSM wa Dar! Wana Arusha tunzeni akiba ya uvumilivu hili ni Jambazi lililoharibu legacy ya mwendazake!
  2. mangikule

    Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Hata mimi ninatamani iende mahakamani! hadi raha! atakapotoa mimacho! Huyu si ndiye aliyesema tukiandama tuchakazwe kama mbwa koko? akiwa Dodoma? Nadhani atakimbia hatathubutu kumkamata boni yai
  3. mangikule

    Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Uzuri hata mahakama ikipewa maelekezo tutaelewa mengi sana kupitia mawakili wasomi wanaojielewa walio upande wa wananchi! Iende mahakamani na siye tuchangie Mwabukusi, Matata, Kibatala, Mallya na ikibidi babalao TAL ataingia uwanjani tuone jaji atakayeleta fyoko!
  4. mangikule

    Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Maskini sijui watapingaje hapa! ameendelea kusema anajua wanakula ila wajipimie ili wasivimbiwe! aisee
  5. mangikule

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Polisi watakuwa kimya hapa!! jamani mbona linchi limekuwa pori la wanyama??
  6. mangikule

    Mkosoaji wa Serikali โ€˜aliyetekwaโ€™ siku 5 zilizopita Mbeya apatikana Igunga

    Hata kama ni kibaka si kuna vyombo vya dola vishughulike naye si ndio utawala wa sheria? Kwa hiyo kumkamata mtuhumiwa, kumtesa, kumjeruhi na kumlawiti ndiyo uwajibishaji wa serikali yako??? Hayo yote hayapo kwenye katiba, yanatendwa na vibaka waliovamia dola wakijiita serikali! Sasa tunayo kazi...
  7. mangikule

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Ndugu zangu Watanzania, Tusiache wala kukubali wala kukaa kimya wala kupuuzia wala kuona ni kawaida wala kusema haituhusu wala kuacha kulaani na kukemea mtu au watu au kikundi cha aina yoyote ile au chama chochote kile kikimtukana Rais wetu na kutumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu. Rais wetu...
  8. mangikule

    January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania

    Kwa mwendo huu kuna imani inajengeka! Kuwa Magu alikuwa anakula lakini na wachache au yeye mwenyewe Kuwa Saa100 alimwonea wivu wakati wa upigaji kwa vile hakuruhusiwa kuiba Kuwa Magu aliuawa na wauaji sasa ndio walioshika ofisi ya juu. Saa 100 achunguzwe kuhusu kifo cha Magu haiwezekani kuwa...
  9. mangikule

    Waziri Mchengerwa: UVCCM 'msiwaache salama' wanaokuja kueneza uchochezi Rufiji

    Mchengerwa mswahili asiye na ustaarabu aliwezaje Kuwa mkwe wa bi kizimkazi!? Aaah nimejua Sasa birds of a feather flock together
  10. mangikule

    Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

    SSH ni jambazi mbaya kuliko magufuli!
  11. mangikule

    RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

    Mungu yupi huyo anayelinda majambazi na wauaji? Kama ni huyu tunayemuabudu nina hakika amekupa wewe Makonda muda wa kutubu! Hata hapa ulipopelekwa ni fursa ya mwisho ya toba! Bila hivyo utakumbana na mkono wa chuma kama yule muovu aliyekutuma DSM
  12. mangikule

    Tetesi: Kesi ya utekaji na mauaji dhidi ya Makonda yanukia

    Mashoga!! Thibitisha makonda kuwa siyo shoga na bashake ni GSM bisha!
  13. mangikule

    Arusha ijiandae kwa utekaji na matumizi ya nguvu kudhibiti wanaompinga Rais

    Umeandika kweli tupu! Lakini nakuhakikishia haitokuwa rahisi kama Dar! Damu itamwagwa this time!!
  14. mangikule

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Walishaiba hawana cha kulipa! Na bado wanafanyiwa figisu wakati wa malipo kama omba omba! Mimi nasema hivi wacha wateseke/tuteseke sana na asiwepo wa kumsaidia mwenzake! Kwa hiyo kada ya kikokotoo ndiyo machawa na wanaosaidiaga kuiba kura shenzi type DIE SILENTLY shut up!
  15. mangikule

    Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

    SOo what!!! Upumbavu mtupu hatishiki mtu tena! Risasi, mahabusu, kutekana, kubambikia kesi vyote vimeshindwa halafu unatuletea issue za manjagu wazazi wako? GO TO HELL
Back
Top Bottom