Search results

  1. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji kioo cha iPhone XR OG(iCloud )mwenye nacho nicheki 0763802014
  2. A

    Zitto naomba mjadala na wewe kuhusu sera ya uchumi ya ACT-Wazalendo

    Zitto atakupwelepweta bure tafuta saizi yako.
  3. A

    Eti kina Saed Kubenea ndo 'think tanks' wa CHADEMA! Lazima CHADEMA ife tu!

    Mkuu Ndio sababu wenye akili timamu wote Sasa wako ACT ya wazalendo.
  4. A

    Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    Mji nga hajibiwi kwa maneno.
  5. A

    Hizi ndizo hoja dhaifu zinazotolewa dhidi ya ACT-Wazalendo

    Tumeshapewa Kuna tatizo?naona Chama chenu kimejichokea mapema.
  6. A

    Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    Mnapaswa kuhurumiwa Sana Chadema saccos,mwenzio alidai hizo picha Ni za KIGOMA wewe unasema ni edited haya Tunawasikilizeni ,endeleeni kujin yea.
  7. A

    Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Ni huyo huyo Tu msaliti wa ukweli amewasaliti majambazi,kwa wapenda haki Ni shujaa kwa mafisadi Ni msaliti.
  8. A

    Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Ni kweli sisi Ni majuha wa kufuata demokrasia haya wewe msukule nipe mfano wa demokrasia ktk Chama chako.
  9. A

    Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Kwa akili zako unamaanisha hakuna haja ya mfumo wa vyama vingi tubaki Na ccm Tu sio,we Nenda jikoni Tu ya barazani tuachie.
  10. A

    Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Wewe Ni msukule hujitambui njoo Na Ndugu zako tukusaidie.
  11. A

    Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Kaka Mimi nasafiri Na upepo wa mabadiliko,Na siwezi kushikilia Chama hata Kama kimepoteza dira sera za act zimefufua matumaini ya ukombozi,maisha Ni mabadiliko Ndugu yangu ulikuwa mchanga umekuwa kijana Na utakuwa Mzee Na utakufa kwa nini usibadilike kisiasa pia.
  12. A

    Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    We endelea kushikwa akili lakini habari Ndio hiyo japo sio habari njema kwako.
  13. A

    Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Katika hali inayoonesha watanzania wa Sasa hawategemei propaganda kufanya maamuzi,wananchi wa Wilaya ya Tunduru wamejitokeza kwa wingi kujiunga Na Chama cha ACT Wazalendo huku wakielezea Chama hicho Kama Tumaini Lao jipya Na kuachana na vyama ambavyo Kimsingi vimeshakuwa saccos za watu Fulani...
  14. A

    nani ataniuzia used lumia 720,au 625?

    wadau si mara ya kwanza nimenunua simu ktk jukwaa hili na sijapata kujilaumu, mara hii tena najitokeza kutaka mwenye nokia lumia 720 au 625 aniuzie. Mwenye nayo ani text ktk 0763802014.
  15. A

    Jipatie sofa nzuri kwa bei poa

    karibuni wadau mujipatie sofa zilizotengenezwa kwa mbao nzuri na kitambaa chenye ubora wa hali ya juu. Pia tunapokea oda Kwa maelezo zaidi nicheki ktk 0754545163.
  16. A

    Ofisi nzuri inapangishwa.

    OFISI IKO KATIKA ENEO ZURI LA KIBIASHARA CHANG'OMBE, ENEO LA OFISI LINA UKUBWA WA MITA ZA MRABA 61, INA ENEO LA KUEGESHA MAGARI LENYE MITA ZA MRABA 74, INA SEHEMU YA MAPOKEZI,CHUMBA MBILI ZA OFISI,A CORRIDOR WITH A KITCHEN,DIRECTOR'S TOILET&PUBLIC TOILET. INA STORE ROOM MOJA, INA VIYOYOZI...
  17. A

    Adam na Hawa walikuwa wawili hapo kale?

    kimsingi Adamu wala Hawa si mtu wa kwanza ktk hii dunia,adamu aliishi miaka elfu sita na ushee iliyopita,ilihali dunia ilikuwepo zaidi ya miaka elfu mia moja iliyopita.dhana ya adamu kuwa mtu wa kwanza ni matokeo ya uelewa finyu wa mafundisho ya biblia na quran.biblia inasema adamu alimzaa kaini...
  18. A

    nahitaji pkpk XR au XLR.

    au nicheki ktk 0763802014.
  19. A

    nahitaji pkpk XR au XLR.

    wadau mwenye pikipiki tajwa ajitokeze tufanye biashara.
Back
Top Bottom