Search results

  1. S

    Huyu mkimbiza mwenge ana mamlaka kubwa kiasi hiki!?

    Swali lake linataka majibu,na sio matusi na kejeli. Kama una majibu tofauti na sahihi weka humu ndani. Vinginevyo kubaliana na Mimi.
  2. S

    Huyu mkimbiza mwenge ana mamlaka kubwa kiasi hiki!?

    Mwenge ni ziara ya rais,na ndo maana kwa kila Halmashauri mwenge huhitimisha ziara yake kwa kusoma heshima ya utii kwa mh. Rais.
  3. S

    Huyu mkimbiza mwenge ana mamlaka kubwa kiasi hiki!?

    Kwani ziara za rais zipo kwenye kipengele gani cha sheria?
  4. S

    Huyu mkimbiza mwenge ana mamlaka kubwa kiasi hiki!?

    Hujui kama mwenge ni ziara ya rais?
  5. S

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kuwa specific,wapi panahitaji ufafanuzi mkuu!!
  6. S

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Akinipa pia kazi nitafanya.
  7. S

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hujui unataka nini!! Wansema kama hujui uendako,njia yoyote ile inakufikisha.
  8. S

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Rais wetu amesema vema sana kwamba haya magari yanayotumiwa na mashirika yanayohudumia wakimbizi yakimaliza shughuli zao yasiuzwe Bali zipewe Halmashauri husika,rais akapiga pin magari yaliyotarajiwa kuuzwa mwishoni mwa mwaka jana. Sasa wamekuja na mbinu ya kukodi magari ya watu binafsi ili...
  9. S

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ni kweli kwamba hatakiwi kupangiwa cha kufanya. Rais yupo sahihi sana. Wewe ungependa kuna anapangiwa cha kufanya?? Kwanini apangiwe?? Nani ampangie??
  10. S

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Naomba niwambie jambo moja ambalo pengine miongoni mwenu wapo wanaofahamu na wengine labda hawajui. Mimi nafanya kazi kama Afisa tarafa huku kasulu,na kambi ya wakimbizi ya nyarugusu ipo ndani ya tarafa yangu.Kwa mazingira haya na nafasi hii napata kukutana na wazungu wengi wa mashirika...
  11. S

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Ushujaa wa askofu hautatokana na makonda,ushujaa wake itategemea jinsi anavyowaandaa kondoo wake kwa haki na kweli ili kuurithi uzima wa milele.
  12. S

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Ukweli ni kwamba sijawahi mwamini huyu mwinjilisti. Imani yangu kwake ilitoka pale alipokuwa anamshauri Rais magufuli kuwa ajitoe ndani ya ccm na urais wake na kujiunga na chama kingine. Angewezaje kkuvua uanachama na kubaki na urais? Lakini pia katika hili sakata lake na mh.makonda,mara ya...
  13. S

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Jamani usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa pinda amefika ofisini kwangu,tukaanza kuongelea habari za katiba. Tukabishana sana kuhusu mjadala wa katiba ulivyohodhiwa na ccm. Mwisho akaniambia hawezi kuendelea kubishana na mtumishi wa umma mwenye mlengo wa upinzani. Nakumbuka nilimwambia kuwa...
  14. S

    Machali ashushuliwa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili mbele ya mkutano wa hadhara

    Awe Wassira au machali kama anahamasisha watu walime hifadhi kwa manufaa yake kisiasa ni upumbavu tu. Kwa suala hili hakuna cha ccm,cdm wala nccr. Umuhimu wa hifadhi unaeleweka. Kama wewe ni mkazi wa kasulu ukasikia watu wa ksl wanalima hifadhi utashangaa, hatujafikia huko. Ardhi iko tele...
  15. S

    Machali ashushuliwa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili mbele ya mkutano wa hadhara

    Unajua bwana mangatara ushabiki huu wa kisiasa ukiendekezwa sana una hatari ya kuziba mianya ya ukweli. Umuhimu wa hifadhi unafahamika,hata kwa watu wa kawaida tu,nashangaa machali hajui au anajiondoa uelewa kwa manufaa yake kisiasa. Kasulu haina uhaba wa ardhi hata kidogo, eneo lilitumika...
  16. S

    Machali ashushuliwa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili mbele ya mkutano wa hadhara

    Mimi na wewe tuungane kushangaa,alifuata nini huko. Mimi sijavurugwa,yeye ndo kavurugwa. Ila ukweli ni kwamba alikuwepo na alipata nafasi ya kuongea.
  17. S

    Machali ashushuliwa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili mbele ya mkutano wa hadhara

    We ni bure kweli, yaani kuomba eneo la hifadhi liongezwe anaomba kwenye mkutano wa hadhara,? Mkutano huo una uwezo wa ku-extend eneo la Makazi kwenda hifadhini? Hata kama umehudhuriwa na naibu waziri. Wewe na machali hamjui kama hifadhi ipo kwa mujibu wa sheria? Na sheria zinatengenezwa kwenye...
  18. S

    Machali ashushuliwa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili mbele ya mkutano wa hadhara

    Machali ampige babake kisha nilaniwe Mimi? Sijawahi kuona laana za hivyo. Machali ni miongoni mwa wabunge wanaojiandaa kutafuta ajira nyingine, hutaki acha!
  19. S

    Machali ashushuliwa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili mbele ya mkutano wa hadhara

    Kama alimpiga hata akikanusha ni bure!!! Laana iko pale pale.
Back
Top Bottom