Search results

  1. D

    KNCU na shamba na nyumba zake - CCM kwenye kashfa nzito Kilimanjaro

    Pamoja wizara ya kilimo kutangaza wazi kuwa nyumba za kampuni ya kukobolea kahawa hazitauzwa wala mashamba ya kncu, tayari taarifa zimeenea katika mji wa moshi ya kuwa alienunua nyumba ya tccco iliyoko moshi mjini tayari ameshalipa fedha zote pamoja na kwamba wizara inayoongozwa na waziri chiza...
  2. D

    Ufisadi KNCU na TCCCO

    Hivi karibuni kumekuwa na malumbano kati ya uongozi wa kampuni ya kukobolea kahawa ya moshi Tanganyika Coffee Curing Company(TCCCO) na baadhi ya vingozi wa vyama vya ushirika Kilimanjaro kuhusiana na uuzwaji wa mali za kampuni hiyo ambayo wanachama wake ni vyama vya ushirika Kilimanjaro na...
  3. D

    UTPC ni chafu pia inalenga kumhujumu rais

    Ufisadi UTPC Napenda kuanika kwa uwazi ufisadi mkubwa ulioko ndani ya umoja wavilabu vya waandishi wa habari nchini utpc unaoongozwa na mkurugenzi mtendaji wake abubaka kasan. Kasan amekuwa akizitumia fedha hizi ambazo nyingi ni msaada kutoka kwa wahisani mbalimbali kwa matumizi binafsi...
  4. D

    Tanzania daima mmechemsha

    Nimesoma kwa masikitiko makubwa habari zilizoko kwenye gazeti la tanzania daima yenye kichwa cha habari lowassa na mengi kufanyiziwa kama lwakatware. Nasema nasikitika maana ni habari za uongo na za kizushi haswa ikitiliwa maanani umaarufu wa watu hawa wawili ndani ya nchi hii, yaani...
  5. D

    Rco kilimanjaro na sukari

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kuhusishwa kwa rco Kilimanjaro na biashara haramu ya sukari, ingawa siamini kama sukari ni ya shida tena maana imejaa kwenye maghala huko tpc mpaka wameomba mengine nje ya kiwanda hicho. Sitaki kuonekana namlinda RCO huyu bali napenda nieleze...
  6. D

    Mwandishi kugongwa, viongozi wa Kilimanjaro kuwakana wenzao

    Makamanda kuna taarifa kuwa chama cha waandishi wa habari kilimanjaro kinaanda tamko la kuwakana wanahabari wenzao waliojifanya mapolisi na kwenda kukamata sukari usiku wa manane huko himo, mimi hili halitanishangaza kwa vile viongozi wa sasa wana ukaribu na kamanda mpya wa polisi...
  7. D

    Umoja wa vilabu: Ubadhirifu mkubwa utpc

    DIRA Umoja wa vilabu nchini, utpc, umeingia katika kashfa kubwa ambapo rais wake keneth simbaye, mkurugenzi wake abubakar kasan na bodi nzima wanatuhumiwa kufuja fedha za umoja huo. Habari kutoka vyanzo mballimbali ikiwemo ndani ya utpc yenyewe na baadhi ya vilabu vya mikoani...
Back
Top Bottom