Search results

  1. emmanuel katamba

    Kiongozi gani anahitajika kuiongoza nchi hii tanzania iliyojaa asali na maziwa?

    KWA KAWAIDA KUNA VIONGOZI WA AINA TATU::flame: 1. NI YULE AMBAYE AMESAIDIWA NA WATU KAMA VILE MATAJIRI, WAFANYABIASHARA AU HATA MAGENGE YA WAHARIFU KUINGIA MADARAKANI. MTU WA AINA HII AKIWA MADARAKANI ATAMTUMIKIA ATAWATUMIKIA HAO WALIOMSAIDIA KUINGIA MADARAKANI. 2. KUNDI LA PILI NI LA YULE...
  2. emmanuel katamba

    Ukioa mwanamke unaempenda sana ni hatari? Wewe unasemaje?

    Katika hali ya kawaida mtu huweza kushangaa hoja hii. Ukweli ni kuwa watu wengi wanafikiri wakioa au kuolewa na watu wanaowapenda sana maisha huwa ya furaha sana lakini wengi wamekuwa wakilazimika kufanya mambo hata nafsi zao hazipendi kwa kuwa tu wanaogopa wampendae atachukia au atamwacha. Ni...
Back
Top Bottom