1. Hapana SI HALALI . Ni kutokana na KUTOCHAGULIWA NA CHAMA CHAO KUINGIA BUNGENI kabla hata hujaongelea KUFUKUZWA!
2. Bunge NI HALALI ; lakini Vikao vya Bunge vinakuwa BATIRI maana vimejumuisha wasio Wajumbe halali! Mbaya zaidi ni kuwa tunaendelea kuwa na Bunge lenye SPIKA NA NAIBU WAKE...
Nakuhakikishia kuwa Rais akikubali kuunda Bunge Maalumu lenye Wabunge wachache makini kuwakilisha kila mkoa ataitendea haki Ofisi yake ya Urais na atakumbukwa milele . Nikifuatilia kwa umakini alivyoanza; naona uelekeo wake ni wa kutaka Amani na Ufanisi katika Serikali yake!
Unajua Bunge letu...
Mimi ni Mwana CCM. Hali ilivyo sasa ni ya kutuletea FAIDA ya MUDA MFUPI. Wananchi wanapenda Ustawi ,Uhuru , Amani na Usawa. Ili tujihakikishie kuendelea kuwa na Wanachama KWA MUDA MREFU LAZIMA TUJISAHIHISHE. Mifano iko mingi. Hapo jirani zetu tu palikuwepo KANU isiyotaka mabadiliko chanya leo...
Ndiyo maana halisi ya kichwa cha habari; Ni vidonge vichungu lakini vikimezwa mwisho wake ni kupona kwa fAIDA ya Taifa zima na Watanzania wote. Katiba ikidadiliwa na Wabunge (wasio ndani ya Bunge sasa) wa Bunge MAALUMU INAWEZEKANA.
Kwa vile AMA Chombo husika hakijawajibika ipaswayo kwa mujibu wa Sheria iliyokiunda ya na. 15 ya 1996 hususan sehemu II Ibara ya 5 (1) (d) AU kwa Viongozi waliotangulia kutosikiliza/ tekeleza ushauri wao, leo nateremsha ushauri kwa kutaja mambo ambayo yanatafsirika kuwa HUJUMA (kwa kujua au...
Ni ngumu kuhisi maana Rais ana washauri wake na vyombo vya Kiusalama vitawamulika candidates wote.Ia ungesema unashauri ateuliwe nani? Ba kupoteza muda nasema Profesa Sospita Muhongo ni serious business anayelandana na Mh. Rais
1. Nani kakwambia kuitwa mwanasiasa ni kugombea?
2. Hata kama kugombea ndio kigezo; sasa una mdanganya nani hapa wakati ni juzi tu kagombea katika Ofisi ya juu kulizo zote nchini na akawagalagaza watu kibao pengine ukiwemo na wewe.
Kuna namna yingi sana za kuitwa mwanasiasa. Cha msingi ni...
Kwanza unatakiwa ufahamu kwamba, kilichoundwa si kamati ya bunge bali timu ya uhakiki wa mitaala iliyowasilishwa.
Whatever, muhtasari, mtaala au chapisho lililoanzishwa hapa duniani na mjuaji Maranya;tulichoshuhudia ni kuwa alichokiomba kwa kuweka rehani ubunge kimewasilishwa.
Mbona ni kitu...
Akiwakilisha hoja binafsi, Mbatia alisema endapo mihtasari rasmi ya elimu itawasilishwa yuko tayari kupoteza ubunge wake.
Muda mfupi Waziri mwenye dhamana amewasilisha mihitasari Bungeni na Kamati ndogo imeundwa kuthibitisha uhalali wa nyaraka hizo.
Je ikishatangazwa kuwa ni mihitasari...
Niliposikiliza speech ya Rais ya mwisho wa mwezi ambayo hakika Aaliongea mengi ya maana sana na kisha wimbo wa Taifa ukasikika; maneno hekima, umoja na amani hizi ni ngao zetu nilisikia kuugua sana moyoni. Nikajiuliza hivi kwa nini nisianzishe kitu chenye mfano kama wa HAKI ELIMU; HAKI ARDHI...
We have got to be extra-careful with such a move! Hii ni nchi moja na kuna rasilimali kubwa ambazo lazima tuendelee kuziona na kukubali kuwa ni mali ya Taifa lote. Hivyo lazima nchi yote inufaike kwa hizo rasilimali vinginevyo tunapandikiziwa uhasama ambao ngumi zitaanza sasa hivi kati yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.