Search results

  1. B

    JK amteua Mwambene Mkurugenzi wa MAELEZO

    Hongera sana Mwambene. Tunakutakia kila la heri kwenye majukumu yako mapya.
  2. B

    Wakataliwa maombi ya kuhesabu watu (Sensa) kwa kukosa kadi ya CCM

    It is difficult to believe that!!!!!!!!!
  3. B

    Malawi vows to continue oil-gas exploration, dismissing demand by Tanzania which claims half

    Naona JF wengine hawajui. Kwa taarifa yenu, tatizo la mipaka ni la siku nyingi. Sio kwamba limekuja kwa sababu ya kuchimba mafuta. Tanzania tunasema mpaka ni katikati ya ziwa, wakati Malawi inasema kufuatana na Berlin Conference 1890, mpaka ni ukingoni mwa ziwa upande wa TZ.
  4. B

    JK aziba nafasi iliyokuwa ya Balozi Ombeni

    Safi sana mtaalam. Hiyo ndio maana halisi ya wa kudumu. Waulize pia wanaoshangaa kwa nini hawashangai kwa makatibu wakuu ambao ni "permanent secretaries"? mbona hawangojei kufa, wanahamishwa, kuachishwa au kustaafu muda unaostahili bila kungojea kifo. Tukushukuru kwa somo, maana hiyo ndiyo lugha...
  5. B

    Taasisi ya Moyo Tanzania yafungwa!

    Wanaoijua vema Taasisi hii na namna kiongozi wake alivyokuwa anawatumia wagonjwa wa Moyo, kama chambo cha kufanikisha mambo yake, Wataunga mkono saaana kufungwa kwake. Hata Hivyo ukifanya biashara ni lazima ulipie gharama zake, ikiwa pamoja na pango la nyumba! Hongera sana waliofanikisha...
  6. B

    Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

    H wana JF. kumbe inafaa kusoma kwa makini kabla ya kuchangia. All the best!
Back
Top Bottom