Search results

  1. M

    Tuwe tayari kuahirisha mabadiliko kuliko kukubali hadaa!

    hata mi nakubali kutokukubaliana na wewe
  2. M

    Kuingia kwenye LAWSON

    Kama approver akigundua aanaweza aakakutema hivo ininatakiwa uukawaombe rita wakubadilishie cheti cha kuzaliwa
  3. M

    Siri yafichuka viungo vya Albino

    Ni vizuri ukijikita kwenye mada kkuliko kuhusisha vyama kwenye suala mtambuka kama hili Musa alan
  4. M

    Vurugu Ilula: Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto

    Poleni sn wana ilula kwa masahibu hayo,ila tuepuke kunywa pombe asubuhi kwani hamuna sababu ya msingi kunywa pombe asibihi ingawaje si halaliabisa polisi kuua raia wasio ma hatia
  5. M

    Taarifa kutoka Uhamiaji

    Wafute kwasababu wewe umesema au kwasababu wote wanafikiri kama wewe unavyofikiri,lete arguments za kwnini wafute,mf.wafute kwasababu usaili ulifanyika Dar tu bila kuhusisha mikoa mingine ya mbali km katavi,umeona hiyo hoja?
  6. M

    Taarifa kutoka Uhamiaji

    Unaweza ukathibitisha hiyo rushwa ilivyofanyika or you are just gossiping with anger
  7. M

    Taarifa kutoka Uhamiaji

    Give the devil his due, kwa usaili wa mkaguzi msaidizi uhamiaji walijitahidi kutenda haki kwa kiasi kikubwa na hata kama kulikuwa na kasoro basi ni za kibinadamu because no one is perfect under the sun and bias is inherent to humman being lakini kwa nafasi ya koplo na konstebo the process was...
  8. M

    AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    Give the satan his due,kwa upande wa wakaguzi wasaidizi uchaguzi ulikuwa almost fair na ndo maana baada ya shortlist yao hakukuwa na malalamiko lakini baada ya kushortlist majina ya koplo na konstebo ndo malalamiko yakaanza kwa hiyo tuipongeze serikali kwa hilo na pale haki ilipotendeka tuache...
  9. M

    Uhamiaji

    Kama we siyo kati ya wale 58,sahau kabisa,hizo zina wenyewe na wenyewe ni wale 58
  10. M

    Bank ya dunia yaonya ongezeko deni la Taifa Tanzania

    Deni ni zaidi ya trilion 30 lakini bado tunafikiria kukopa kwa matumizi ya kawaida km chai,maandazi,semina,warsha na safari za kwenda kuvinjari nje ya nchi,lkn wabunge wetu utasikia wanasema naunga hoja mkono 100%.This is tz my country
  11. M

    Watanzania 65 wauza 'unga' kunyongwa China

    Watoto wa masikini wananyongwa kwasababu ya kukosa ajira lakini maboss waliowatuma wanadunda mtaani bila hata kutajwa,Mwenyezi Mungu azilaze mahali pema roho zao,inauma sn!
  12. M

    Majina ya Uhamiaji yenye uhakika wa kupata kazi

    Kwa kukusaidia tu,tafuta yale majina 58 yaliyoongezwa kabla ya written interview utaona yote shortlisted kwenye ndo utaprove why people are doubting
  13. M

    Oral Interview Uhamiaji

    Kwani kuna wengine hawajafanyiwa interview?
  14. M

    Oral Interview Uhamiaji

    Vp mlofanya oral interview jana wameshaita waliofaulu ili niangalie majina yale 58 yaliyoongezewa kabla ya written interview
  15. M

    Oral Interview Uhamiaji

    Vp maswali yao ni general au specific to immigrgtion only
  16. M

    Utumishi na Uhamiaji ni cha mtoto

    Escrow account+epa+iptl+chenji ya rada+fedha zilizofichwa uswiss=ajira kibao kwa vijana wa tz
  17. M

    Utumishi waachia matokeo hewani

    Haya tena accoutants,mazingira na tarafa nk yote yanapatikana kwenye tovuti yao,km uko mbali nipm no yako nikuchekie
  18. M

    Tukumbushane maswali na majibu ya test ya Mkaguzi Msaidizi Uhamiaji

    Mi dought yangu ni kuwa kwanini ans sheet mliandika majina na siyo namba? Hakutakuwa na favouritism kwenye marking?
  19. M

    Uhamiaji waongeza majina 58 wakaguzi wasaidizi,kulikoni?

    Hao 58 ndo wenyewe ndo maana majina yao wameshindwa kuyazuia kama huamini ngoja interview ipite uone kama watabaki
Back
Top Bottom