Search results

  1. R

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Nadhani kaogopa toroka uje.
  2. R

    Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Hiyo ya diallo nimeipenda.Ndo maana naona TV yake tangu asubuhi mpaka jioni ni matangazo ya Mapadlock.
  3. R

    Hivi CCM wanaiteteaje TANESCO?

    Hawajielewi hawa.Ndo maana mkuu wa kaya kawasusia kampeni.
  4. R

    M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    Nimeona clip yake watsup alikuw akimtukana kipenzi cha watu Raisi mtarajiwa.
  5. R

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Waziri lazima awe mbunge ndo katiba inavyosema.Ndo maana Raisi akitaka kumteua mtu ambae siyo mbunge wa kuchaguliwa awe waziri Lazima amteue awe mbunge kwanza ndo amteue tena kuwa waziri.Sasa kama bunge limevunjwa ina maana hatuna wabunge na kama hatuna wabunge ni automatically hatupaswi kuwa...
  6. R

    KKKT : Maaskofu hatujagawanyika kuhusu Katiba

    Watu wengin hawaelewi.Pengo ni Asofu wa jimbo la Dar e Salaam kama walivyo maaskofu wengine kutoka majimbo megine kama skofu wa jimbo la Ruvuma au Mbeya n.k.So hana mamlaka ya kuwasemea wakristu au wakatoliki. Nikama ambavyo Mkuu wa mkoa wa Dar e Salaam ambavyo hana mamlaka katika mkoa wa...
  7. R

    Kabla ya kuulaani au kuubariki uamuzi wa UKAWA kususia bunge naomba usome hapa mtiririko wa matukio

    Ukipiga kura unahalalisha uharamia uliofanywa na Ma CCM.Kama document yenyewe ni Haramu, utaipigiaje kura wakati ushajua kuwa ni Haram?
  8. R

    Naombeni msaada haraka, Escrow inaniumiza moyo wangu

    Usijitoe Ufahamu.Waliochukua mgao kupitia Stanbic wanafahamika.kama watu wasiokuwa na influence kubwa kenye hayaa malipo wamepata 400M,800 sijui 1.6B,Unadhani watu wenye influence kubwa wenye malipo haya kama Waziri husika,CAG, Governor wa BOT na Mkulu na Ofisi yake iliyoruhusu malipo watakuwa...
  9. R

    Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

    Serikali hii utafikiri kichwa cha mwendawazimu. Hawa PCCB wanaojianya wanachunguza wanashindwaje kuchunguza na kubaini wakina nani walichuka ela Mabilioni ya pesa kwenye Lumbesa pale Stanbic bak.?Ni uchizi husio na kifani. Unaacha kuchunguza watu waliokwapua a lot of billions through Stanbic...
  10. R

    Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

    Una upeo mdogo .Hujui unaloliongea.
  11. R

    Hiki kibonzo cha Prof Muhongo na ukweli unaoendelea Jamiiforums

    Haya magamba ni majinga kwelikweli.Ndo maana Muhongo alitaka kuja na utetezi wa kijinga eti Mkono amepata pesa nyingi kutokana kuisimamia Tanesco katika kesi yake na PTL.Utadhani ile ela TANESCO hawakuingia nae Mkataba ili kampuni yake ya uwakili isimamie kesi.Wajinga ndo waliwao,dili waingie...
  12. R

    Sophia Yusuph Makamba aombwa kugombea udiwani Kivule

    watu wengine bana,sasa huyu ni dada au bibi?
  13. R

    ESCROW: Hatimaye Tibaijuka, Chenge watumiwa ankara kulipia kodi

    Watanzania tumepumbazwa nasisi tunapumbazika. Kwanini tusitake kujua Ela iliyolipwa kupitia stanbic Bank ililipwa kwa nani? Mnasikiliza upumbavu kwamba waliopata mgao kupitia Mkombozi wamepelekewa gharama za kodi wanayodaiwa. Kwanini Mwigulu hasiangaike kujua waliopata mgao kupitia Stanbic ni...
  14. R

    Katiba mpya ni kitanzi kwa wazanzibar

    Kama wamediriki kuiba kura zilizopigwa ndani ya bunge za ndiyo na hapana,watashindwa kuiba za mtaani?Mnacheza na Mainterahamwe.
  15. R

    Muda mfupi ujao Wajumbe wa BMK wa Kura ya hapana wanaitisha Press na kuondoka

    Hivi aya Ma CCM yana akili gani.yanatuharibia nchi hivihivi.Yani yako tayari kufanya chochote kukidhi haja zao. Tatizo upole wetu nasisi unatucost sana.Mimi nina wasiwasi hawa waliopiga kura za hapana waziwazi kama wangepiga za siri zigechakachuliwa.
  16. R

    Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT

    Na waliomchagua awaongoze ni vilaza.Mtu kama uyu unawezaje ukamchagua akakuwakilishe bungeni?
  17. R

    Anguko la Samwel Sitta: Kutoka mwenyekiti hadi mtunza muda

    Huyu mzee ni mnafiki kuliko wanafiki niliowahi kuwaona.
  18. R

    Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

    Nyie Wote Mazuzu.Jina lenye linaoyesha ana upungufu wa akii kichwani.
Back
Top Bottom