hawa viongozi wetu ni mabogas kweli na wanafikiri watu wote ni wapumbavu kama wao na ukishakuwa mtawala ndo ushakuwa mungu, juzi tu makamo wa pili iddi alisema serikali haina maoni ssa leo huyu mkuu wa mchamba wima anatuletea maoni ya smz then watu wasubiri tume hivi hawa magamba sijui kama...
hayo ni mawazo ya kenge magamba, but waznz haturudishwi nyuma na kauli za mamluki watanganyika kama hawa, kumbuka znz ipo kabla ya huu upuuzi muungano na itaendelea kuwepo, tumeamua waznz kudai haki yetu na muda umefika mtatoa tu hata kwa lazima :baby:
kama wanaopinga muungano ni waarabu basi na yye anaetaka muungano ni mtanganyika, na mamluki kama hawa wako wengi wanaouza utu wao kwa vijisent, but this time wamefeli akitaka ushahidi aiambie serikali ya magamba wafanye kura ya maoni znz ndio atajua kama waarabu au watnganyika na tunahakkisha...
yaani umeandika upuuzi mtupuuuuu yaani kama ni mtihani bac 0+++=000000000000000000000, unajua watz wengi ni wajinga hawajui haki zao linapo kuja swala la kudai haki zao watawala ni rahisi sana kubadili upepo hoja sio nani ananufaika na muungano nani hanufaiki wananchi wa znz wanataka mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.