Miaka ya nyuma nikiwa mdogo meno mawili ya juu ya mbele yaliweka tobo nikapelekwa hospitali wakaziba kilichotokea pale walipoziba siku zilivyokuwa zinaenda pakabanduka alafu pakatengeneza kama mwanya mpaka saiv hayo meno mawili yamepukutika yenyewe na kubaki pengo bila kuuma bila kun'goa Kama...
Basi na mimi nitafariki maana meno yangu karibu yote ni mabovu huwa yanalegea bila kuuma na kutoka yenyewe ila hili linauma na Kuna lingine ukiligusa linauma pia
Nasumbuliwa na jino linauma balaa sitaki kulin'goa maana mapengo niliyonayo yanatosha, alafu Kuna mtu kanitisha kaniambia ukienda kun'goa jino umri huu 30+ unaweza kupata shida kwenye macho.
Kama Kuna mtu anajua dawa ya jino anisaidie jana sijalalaa, nikila chakula cha moto maumivu maji ya...
Sasa unakuta dingi yeye ni ubabe tu kwa mtoto hakuna cha upendo wala amani mwishowe mtoto anakuwa kibaka au jambazi kabisa fuatilia familia za vibaka na wale wadada wanaojiuza utagundua shida kubwa sana kwenye malezi ambapo chanzo ni wazazi.
Nakubaliana na wewe na huyu mzazi unayemzungumzia hapa ni baba na ana jina lake lingine anaitwa dingi na domokaya na man dojo walimuimba kwenye nyimbo yao.
Aina hii ya mzazi ni wanoko, bandidu na ni wajuaji sana na hata ukiwaita wajinga ni sawa tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.