Search results

  1. B

    Chonde chonde Simba

    Kutokana na uvumi uliozagaa kuwa eti kaseja atarudi simba, napenda kuwashauri viongozi wasimrudishe kabisa juma k. Juma kama golikipa . Huyu bwana hutumika kugawa timu , mkimrudisha mtakuwa mnarudi kule kule kwenye migogoro ya wachezaji make huyu ana akili kama za zzk. Msidiriki hata kidogo...
  2. B

    Kulikoni Abdallah bin Kleb

    Huyu bwana hayumo kwenye kamati alizoteua bwana Yusuph Manji. Au tetesi zilizosemwa kuwa huyu bwana anamchakachua bwana Manji fedha za usajili ndo zilizomfanya aondolewe kwenye kamati ya utendaji?
  3. B

    Uchaguzi Simba Sports Club

    Wadau na Wapenzi wa Simba, nani anastahili kuiongoza Simba kwa sasa make uongozi uliopita umetutesa sana . Mara wauze wachezaji hela hazionekani, mara wasajili magarasa mbaya zaidi Rage amekuwa na tabia ya kutukana matusi wanachama na wapenzi wa klabu. Rejea kipindi cha michezo Magic FM kila...
  4. B

    Waraka wa wazi kwa Ndugu Jamal Emil Malinzi na Wallace Karia

    Naanza kwa salamu za pongezi kwenu kwa ushindi wenu ambao hamjaupata kirahisi. Mmevuka milima na mabonde kuzipa hizo nafasi zenu make Tenga na Jeshi lake kupitia Osia Angetile ( Anaudhi sana huyu- kwa nini hajajiuzuru) waliwawekea vikwazo vingi hususan Malinzi mwisho umefankiwa kuwa kiongozi wa...
  5. B

    Da kumbe Wallace Karia ni mtu mkubwa hivi na si mganga njaa!

    Nimeshanga na habari kuwa huyu bwana ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mvomero. Nawasilisha
  6. B

    Ccm na hoja ya ukabila

    Ndugu wana jamii nimekuwa nashangazwa sana na kilio cha ccm kuhusu ukabila make wamekuwa wanawambia cdm kuwa wana ukabila. Kiukweli mi nakanusha sana kwa sababu zifuatazo: heche ambaye ni mwenyekiti wa bavicha si mtu wa kaskazini ni mkura wa tarime na nimesoma nae a-level. zitto ni wa wapi...
Back
Top Bottom