Search results

  1. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Iliyompa ujumbe wa kamati kuu
  2. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    kuna kitu ulikuwa unataka kukisema ukashindwa kuandika au ndio uwezo wako umeishia hapo?..q
  3. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Bajeti ya hovyo wacha iendelee kujadiliwa na watu wa hovyo...
  4. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Ndio maana haingii bungeni kumbe ndio maana anajenga Chama tu?....sasa kwanini haachii ujumbe wa kamati kuu?..tupende lakini tusizidishe kiwango.
  5. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Kama hivyo ndivyo sasa mbona hingii bungeni?...na Kama hivyo ndivyo pia sasa kwanini nafasi Yake ya uwaziri kivuli wa mambo ya ndani imejazwa,kwanini wasisubiri maamuzi ya court of appeal?
  6. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Umepanick?....nimekmbia CDM wakuu wa arak wa watueleze kwanini hawaitishi uchaguzi mwingine wa wabunge ili wachague mjumbe mwingine wa kamati kuu tofauti na huyu?....Kama bado anatmbulika Kama mbunge kwanini jana ameteuliwa mbunge mwingine kuchukua nafasi Yake ya uwaziri kivuli wamambo ya ndani?
  7. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Kwani CDM wanakuwaga na aina Fulani ya wabunge tu?...ache udhaifu wewe, LEMA ni mbunge wa wananchi wa Arusha na wananchi wengine wamemkataa na sasa anatakiwa asubiri mpaka atakapokuwa mbunge tena baada ya Khufu ilia adhabu Yake ya kutokugombea mika mitano ijayo....
  8. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    ...????....unajua maana ya GAMBA wewe...Mimi nilijiunga chadema kabla yako wewe uliyeamia juzi...LEMA mwenyewe amenikuta.
  9. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    sifa Yake kubwani kwamba amesoma Cambridge university of London na amechukua advance diploma in proper management of people....hiyo ndoo sifa Yake kubwani anayonizidi Mimi.
  10. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Fungus katiba ya chadema kipengele cha Wajumbe wa kamati kuu na wanavyopatikana, ipo katika sehemu ya bio Gozo wa kitaifa na vikao vya kitaifa...
  11. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Swali la msingi ni kwamba je, LEMA ni mbunge au sio mbunge?....ukivuliwa ubunge maana Yake unapoteza sifa zone za kibunge, ndoo maana Jana kambi ya upinzani imemteua mbunge mwingine kusikia uwaziri kivuli wa mambo ya ndani badala ya LEMA...sasa kwanini isimchague na mjumbe mwingine wa...
  12. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Hivi unafahamu LEMA aliupataje ujumbe wa CC? Na kwani unafahamu hata hiyo cc maana Yake ni nini?
  13. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    baadhi Yao tu mkuu sio wote...hata Mimi ni mwanachama kabisa na natetea na kusema ukweli.
  14. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Wapuuzi tumekutana...Mimi nimesema ukweli kuwa LEMA hapaswi kuendelea kuwa mjumbe wa CC ya chadema kwa kujibu wa katiba na wewe umekuja kuonyesha upuuzi wako kwa outdrew UNO ga...hi Gera sana
  15. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    swala la msingi, LEMA anasubiri nini CC ya CHADEMA na ubunge kashavuliwa?...nisaidie kujibu hili swali Tafazali
  16. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    jamaa wameshapenda chongo sasa wanaona kengeza...
  17. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    LEMA kweli ni jembe...."TCU-TANZANIA STUDENTS UNIVERSITY"-GODBLESS LEMA.....jembe ndo Hilo bwana
  18. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Kikwete+LEMA+mnyika+wewe wote ni viraza tu na ni gasses kwa taiga hili....
  19. S

    Chadema mnamuogopa lema?..anafanya nini mpaka leo cc??

    Yaani ulikuwa unamaanisha nini?...LeMA ni mpumbavu au Mimi?....swali langu lipoprotein very clear na linahitaji ufafanuzi wa kina.
Back
Top Bottom