Search results

  1. TMAN8

    Viti vya ofisini vipya vinauzwa

    bado vipo? Vimetengenezwa hapa au ni imported? Na bei yako ya mwisho ni ngapi?
  2. TMAN8

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Mi hata kuanzia kesho, kiko wapi hicho nnachoweza kupata na kuanzia lini?
  3. TMAN8

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    Je, naweza kupata chumba ambacho ni self-contained maeneo ya Maduka Mawili, Temeke?
  4. TMAN8

    Nauza bango la biashara

    dar maeneo gani hasa?
  5. TMAN8

    Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

    huwa naukubali sana utaratibu wa wamiliki wengi wa nyumba wa Kenya, ualipa kama guest house vile
  6. TMAN8

    Wapi wanauza Timz,Timbo, Timberland OG hapa Dar

    Nunua tu kwa Amazon
  7. TMAN8

    Nanunua charger original ya Tecno, Blacberry, Samsung iliyokuja na simu.. kama simu umepoteza au imekufa niuzie

    Nikuuzie original smartphone charger ambayo ni fast charge pia 3.0 hakuna simu itayogoma hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. TMAN8

    Tecno Camon Cx for sale

    Hakuna duka lolote utakaloweza pata brand new camon x kwa 280. Mayb and mayb, iwe camon x air Sent using Jamii Forums mobile app
  9. TMAN8

    Seduce yavunja record duniani na Africa kwenye iTunes, Mwana yaibuka

    Sent using Jamii Forums mobile app
  10. TMAN8

    Nauza Ailihen na Biensound headphones

    Sent using Jamii Forums mobile app
  11. TMAN8

    Nauza Ailihen na Biensound headphones

    Hii philips inakwenda kwa 70,000/= Sent using Jamii Forums mobile app
  12. TMAN8

    Nauza Ailihen na Biensound headphones

    Huo waya si charger, hizi hazina mfumo wa kuchaji, unaconnect tu na kifaa chako kinachotumia headphone na kujisikilizia yako na pia zina sehemu ya kupokelea simu, ukihitaji nicheck 0744717206 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. TMAN8

    Tangazo

    Hivi mko kihalali kabisa hadi mnatangaza kuuza hizo software? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. TMAN8

    Nauza Ailihen na Biensound headphones

    Ziko vizuri sana, zimeshiba sound kukufanya uweze kusikia sauti zote zilizopo ndani ya muziki, kuanzia low ends - mid - high ends kwa utulivu kabisa. Pia zina sehemu ya kupokelea simu, na katika ubebaji zinakunjika kirahisi.
  15. TMAN8

    Jinsi Tundu Lissu anatumika na wazungu kuharibu amani watanzania tumpuuze

    mi namuona ni mropokaji fulani ambaye kiundani atakuwa na ajenda zake za siri, sioni kama ana uchungu wa kweli na taifa hili ila anajifanya tu, na kwa kiasi amefanikiwa kupata waumini Sent using Jamii Forums mobile app
  16. TMAN8

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    aaah aaah aaah nafikiri huwa wameshajiandaa kabisa, ukimsalimia tu ndio hapo hapo, hawacheleweshi!
  17. TMAN8

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    huko watu wanatangaza njaa zaidi ya Somalia
Back
Top Bottom