Search results

  1. M

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Salaam.Ninatamani nikae kimya kwakuwa nilitoka salama lakini naona itakuwa ni dhambi maana kuna wengine wapo na wanaendelea kwenda.Dukuduku langu ni kuhusiana na namna mteja anavyohudumiwa na watumishi wanaoingia zamu za usiku katika kituo cha afya Pugu Kajiungeni.Hakuna kauli nzuri kuanzia kwa...
  2. M

    Inakuwaje waliopata GPA ya 2 wanapata kazi huku waliofaulu zaidi wakiachwa wazurule?

    Kiukweli nikikumbuka mbinu ya kila mwanachuo wkt wa mitihani napingana na anayeamini Gpa kubwa ndo kufahamu mambo.Sitasahau siku niliyojikuta natumia karibu nusu saa namshangaa mwanadada alivojiandika mwilini anachofanya anahamishia kwenye karatasi ya majibu.Si haba kwa Gpa yake alikuwa mkufunzi...
  3. M

    Mbeya: Amuua Mke wake kwa Kumchinja na kuutupa mwili wake Mtoni

    Kwani TANNA wanasemaje kuhusu alichofanya Mapinduzi??
  4. M

    Hivi mihemko huwa inawajia saa 24 tu baada ya kututongoza?

    Weeeeeee, 24 hrs kote huko.Ukisha sema yes tu kwenye mtongozo,Hawa wajamaa Ni Kama umemshika mtambo.Hiyo 24 labda wakati wa kukusomesha muwe mbalimbali.
  5. M

    Matajiri wote wangekuwa na Moyo kama wa Bill Lugie Tanzania tungekuwa mbali sana

    Mnyakyusa bana,usishangae hata post zake anatuma akiwa Ushirika.
  6. M

    Matajiri wote wangekuwa na Moyo kama wa Bill Lugie Tanzania tungekuwa mbali sana

    Mbona Kama wa nyumbani Mwanjelwa huyo? anapatikana mitaa ipi tukafahamiane?
  7. M

    Huyu mwanamke ana Watoto wanne kutoka kwa baba wanne tofauti mimi nataka kupewa Uuncle mbuzi. Never, Mjipange Wanawake

    Mtoto kaitwa kwa daktari ukaingia wewe! Kwamba mmefanana majina na mtoto au? Wewe ndo inaonesha uliutaka huo uancle lazima kichwa kikuume na sijui Kama utapona.Hakuna maelezo ikiwa nawewe baadaye uliitwa kwa daktari ukatibiwa.Au ndo mtoto alivyotibiwa ukaondoka nao! Kama kimeanza kuzingua...
  8. M

    Mume wa mtu ananilazimisha nizae naye

    S Huibi kisa awali alikudanganya Hana mke! Baada ya kujua anaye unaendelea kwasababu huo sio wizi.Jamani acha tu huyo mnigeria aliyewamimba wanawake sita halafu kwa raha kabisa wanafoleni wapige picha wanaminywa matumbo.
  9. M

    Kama huu utafiti ni kweli, wanawake tuanze kuwatoa wanaume out

    Hiyo Ni rushwa Kama rushwa zingine.Mshawishi kihivyo akuoe halafu baadaye uanze kulalamika hatunzi familia wkt ulimwaminisha kuwa unayaweza.
  10. M

    Matumizi ya Sentensi "You are so Sweet” na uhalisia wake

    Hapo ulipomaliza kwa kuwahoji wenzio nimejikuta nacheka tu.Maana Kuna wenzako toka waanze huo mchezo wanawake 100+ hata wakuwaambia ur so salt hakuna.
  11. M

    Nisaidieni wadau nipo njia panda

    Unaonesha ww kicheche mkomavu.Kama umeweza omba Hadi namba ya simu ya mwanaume ukanyimwaaaaaa! Jitathmini, Ushauriwe nn Sasa uko level hiyo.Njia panda gani uliyopo ya Ndembela au?
  12. M

    Nahisi nina tatizo kubwa sana

    Kabla sijashauri, nilihitaji kujua hao wakimbizi, wanapokuwa wamechange gear huwa wanatoa maneno yapiii? Yani wanakuwa na hoja gani?
  13. M

    Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

    Ni hiviiii kwanza pole kwa kuuguza mama.Mwenyezi Mungu amsaidie mama apone haraka.Pili najiuliza sababu ya ww kuingia gharama kisa mimba,concentrate na mgonjwa.Usijadili lolote kuhusu mimba Wala mahali.Yeye mwenyewe atachagua afanye Nini.Kuhusu 5m hebu tulipe wadau Kama Ada ya ushauri.FULL STOP
  14. M

    Kenya: Mwanamke awaonyesha wanaume wake wawili hadharani, she refers to them as hubby 1 & hubby 2

    Mweeee, nimetamaniii, nikavuta picha namna ya kumweleza huyu mkurya kuwa nataka apate mwenzake.Hakuna 3 some ni zamu tu Kama wafanyavyo me.Ila kabla sijamwambia nahakikisha nimechoma sindano za ganzi sita, funguo zote nimeficha na nimempa Dada wa kazi namba za Askari hata 5 na ambulance mbili.
  15. M

    Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

    Ya kuitana geto ndo hatujalogwa? Acheni haraka na mabinti hawatokuwa na haraka.
  16. M

    Msaada: Sina moyo wa kupenda, nifanye nini?

    Sasaaa, huyo aliyewahi kukuoa mlitumia muda gani Kama unasema unapenda siku mbili tu?
  17. M

    Hakuna kitu kibaya kama kupenda na ukajijua wazi kuwa hupendwi

    Unataka mkaichukue?? Nimesoma Kama nakuona unavouliza. Sina mbavu Mimi.
  18. M

    Mpenzi wako akikunyima style uitakayo unafanyaje?

    Unamwomba kwa barua au? Halafu mnaanza kuombana style wakati gani? Sahivi wakati unamwomba mwombe mbuzi kakubali kwenda.
  19. M

    TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

    Apumzike kwa Amani.Mungu asaidie awe kaacha wosia.Kinyume na hapo Mungu akasimame Kati ya ndugu waliobaki.
  20. M

    Dar: Polisi yawatia Mbaroni Watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva wa Uber

    He Heeee,kumbe huwaga mnatakiwa mchelewe kucomfess!!
Back
Top Bottom