Search results

  1. P

    kiwanja kinauzwa kibaha-picha ya Ndege

    Kiwanja kilichopimwa,Chenye documents kinauzwa. Mahali; Sofu Kibaha picha ya ndege,km 2 toka main road ya Dar-Chalinze.Upande wa kushoto wa gereza kama unatokea Dar. Ukubwa; 750 meters square sawa na 53*14. Be; Milioni 5. Kiwanja kimepimwa na miundombinu Ipo.Kumejengeka pia. mawasiliano...
  2. P

    Mtungi wa Orxy na jiko la plate 2 vinauzwa

    Mtungi Wa ORXY kg 30.6 na JIKO la plate 2 completely vinauzwa. Mahali vilipo; Kimara Bei vyote; 120,000 mtungi hauna gesi na jiko lipo kwenye ubora mzuri sana.Pia pipe yake ipo. 0716927054...
  3. P

    Photocopier machine for sale (Canon iR2020)

    Photocopier Mashine inauzwa..imetumika mwaka mmoja..ipo kwenye condition nzuri sana. Mahali ilipo Dar es salaam Bei 700,000. Mawasiliano 0716927054..
  4. P

    King'amuzi (dikoda) cha Azam kinauzwa.

    Kinauzwa bila dish lake. Price 70,000 Mahali Dam. Contacts 0716927054.
  5. P

    Kuku wakubwa (layers) wanauzwa.

    Kuku wa mayai (layers) wekundu wakubwa wanauzwa. Wanapatikana kimara Dar es salaam.Wanafaa kwa kuliwa. Mawasiliano 0716927054 Wapo 70 na bei ya jumla ni 7,000@. Karibuni.
  6. P

    Photoprinter Inauzwa...

    Photoprinter aina ya UNOMAT P128S Inauzwa... Mahali ilipo Dar es salaam Bei; 100,000. Pm kwa mawasiliano.
  7. P

    Hp desktop inauzwa..

    Hp desktop Yenye specifications; Cpu;Ram 2gb, Processor: 2.20ghz duo processor. HDD; 160B DVDRW. Monitor hp 17" LCD. PRICE 170,000 IPO DAR ES SALAAAM.
  8. P

    Friji milango 2 inauzwa.

    Friji brand ya BOSS Inauzwa. Bei 270,000 fixed (haipungui) Mahali ilipo kimara Dar es salaam Imetumika mwaka mmoja bado ipo kwenye muda wa warranty Mawasiliano; 0654505476
  9. P

    POLYTANK LITRE 2000 LINAUZWA.

    Tank aina ya polytank used linauzwa Mahali : Kimara mwisho, Dsm Ujazo: Litre 2000 Bei: 220,000 fixed Bado lipo vizuri sana,nauza sababu nataka kununua kubwa zaidi. Linafaa kwa shughuli zote. Mawasiliano: 0712784872
  10. P

    Kabati kubwa la Aluminium linauzwa

    Kabati la biashara (Chips,Mgahawa) linauzwa. Vipimo; Urefu futi 3 Upana futi 3 Bei; 150,000 Mawasiliano; PM or 0627097420 Mahali; DSM (kimara).
  11. P

    Bango la Biashara linauzwa

    Ukubwa; Futi 3 upana Futi 3 urefu. System ya umeme inafanya kazi na linawaka taa. Bei; 70,000 Linapatikana Kimara-Dsm Mawasiliano;pm or 0712784872
  12. P

    Lap top inahitajika

    Laptop inahitajika haraka.Yenye specifications zozote Ila iwe na HDD 300gb na kuendelea. Ofa yangu ni shilingi 400,000.
  13. P

    Flat led tv for sale 24" (tlc inch 24)

    Tlc led tv for sale price; 370,000 location; dar es salaam contact; 0714 219013
  14. P

    Milango ya mninga pamoja na frame zake

    Milango ya Mninga pamoja na frame zake inauzwa kwa bei Poa. BEI; 270,000 (pamoja na frame yake) LOCATION: Mwenge (Dar es Salaam) CONTACTS; 0789 427831 Or PM.
  15. P

    Msaada; NI BENKI GANI INAYOTOA HUDUMA YA POSTAL ORDER? ?

    Ndugu wanajamvi kuna malipo nje ya nchi nataka kufanya kupitia njia YA POSTAL ORDER. Nimejaribu benki za NBC,CRDB,KCB,TWIGA,EXIM Zote hawana huduma hii.Je ni benki gani naweza pata hii huduma?? Malipo ni kwa ajili ya Udahili Katika chuo flani nje ya nchi..
  16. P

    Je masharti ya kukopa kwenye taasisi za fedha kupitia title deed/hati ya kiwanja yakoje?

    Ndugu wanajamvi naombwa kujuzwa taratibu za kukopa Katika taasisi zetu za kifedha upoje kwa dhamana ya title deed/hati ya Kiwanja.. 1: Je nahitaji kuwa na business plan ili nikopesheke? 2; Je. Naweza kukopeshwa kiwango cha fedha Mara ngapi ya thamani Ya kiwanja changu? 3;Je naweza kukopeshwa ili...
  17. P

    Je masharti ya kukopa kwenye taasisi za fedha kupitia title deed/hati ya kiwanja yakoje?

    Ndugu wanajamvi naomba kujuzwa taratibu za kukopa Katika taasisi zetu za kifedha upoje kwa dhamana ya title deed/hati ya Kiwanja.. 1: Je nahitaji kuwa na business plan ili nikopesheke? 2; Je. Naweza kukopeshwa kiwango cha fedha Mara ngapi ya thamani Ya kiwanja changu? 3;Je naweza kukopeshwa ili...
  18. P

    Natafuta solar power watts 100 (ziwe 50 mbili)

    Nahitaji Solar Pannel za Watts 50 (Ziwe mbili) Pamoja na Betri yake.
  19. P

    Bidhaa mpya za dama solution ltd zawasili nchini...(lotion,sabuni,mafuta ya jelly)

    Bidhaa za DAMA zimewasili nchini na zinapatikana kwa jumla na rejareja madukani...Bidhaa hizo ni;; SABUNI; Hii hujulikana kama Dama Organic Soap (Haichubui ngozi,huondoa chunusi,mabarango na harara kwa kiwango kikubwa) LOTION; Hii hujulikana kama Skin Secret (Ni nzuri kwa ngozi za aina zote na...
Back
Top Bottom