Search results

  1. Q

    Je kuna haja ya wanawake waajiriwa kupewa mapumziko wakiwa kwenye siku zao?

    hili ni tatizo kubwa kwa baadhi ya watu, kuna siku binamu yangu alikuwa anaumwa nilipo rudi home niliita sana sikupata jibu nilipoenda rum kwake nikamkuta ameanguka toka kitandan na amepoteza fahamu nkampatia huduma ya kwanza nkampeleka hospital akachomwa sindano ya kupunguza maumivu,nilipo...
  2. Q

    Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

    amakweli njia kuu yako ndio mchepuko wa mwenzako.
  3. Q

    TANZIA: Major General Mstaafu Bakari Shabani amefariki

    unataka tuanze kukumbuka kashfa za kila mtu anae kufa?basi tuanze kwa Adam na Hawa hapo tutaenda sawa
  4. Q

    TANZIA: Major General Mstaafu Bakari Shabani amefariki

    Major General Mstaafu Bakari Shabani ameaga dunia, mwili wa marehemu upo hospital ya Lugalo. Msiba upo nyumban kwake Osterbei, heshima ya mwisho kwa marehemu itatolewa siku ya jpili tarehe9/03 itakayoongozwa na Mh.Rais Dr. Jakaya Mrisho kikwete. Pole kwa wafiwa wote
  5. Q

    Msaada kuhusu Audi A4

    audi ni gari poa sana, hiyo hapo ni Audia Q7 ya jamaa yangu mmoja hivi ipo poa sana
  6. Q

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Ha ha ha hili ni bonge la kitendawili. Ila ukweli utajulikanatu
  7. Q

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    ha ha ha Mbona hawa watu wanatukanganya? Zito amesemd anamiliki gar mbili tu Carina na Freelander na Mkono amesema amemuuzia Land cruiser na amemkodisha Nissan patrol. hapa akili mkichwa
  8. Q

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    huu ni unyama ambao hauwezi kuvumilika profesa mzima ameamua kumwingilia kimwili mtoto ambaye ni sawa na mjukuu wake na kumuambukiza virusi vya ukimwi, watu kama hawa wanastahili kunyongwa kwa kweli
  9. Q

    Sugu anatafutwa na Polisi Dodoma ...Amefunguliwa faili na Askari Polisi

    jeshi la polisi limejaa watu wajinga
  10. Q

    Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

    hapa prof amechemka kwa kwel
  11. Q

    Madawa ya Kulevya: Mashine mpya zafungwa JKIA

    mara ya kwanza tatizo lilikua ukosemu wa vitendea kaz? Hata kama tutanunua vifaa vya gharama kubwa kama wasimamizi hawana uaminifu basi ni kazi bure
Back
Top Bottom