Search results

  1. Roxea

    Aliye karibu na Mange Kimambi anisaidie kunifikishia Kwake huu ujumbe maridhawa

    Nilisoma mahali ".......the disfference between success and failure is how you adapt to your enemy and the adaptation is not neccesary to look alike....."
  2. Roxea

    Wanawake huwa mnapatwaga na ibilisi gani?

    Waungwana wanateseka sana hapa duniani ila masheta yale yanayoamini mwanaume mashine yanakula tu mema ya nchi.........mkuu pole sana na huna sababu ya kuendelea kukaa katika majonzi get up keep running coz maisha lazima yaendeleee
  3. Roxea

    Apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumtishia kifo Rais Magufuli

    Ft the:5it'd5tťt:5hgttťtt5ťťtťťhugged::fthe :Greg:the55ttfree:rrthe tRydert
  4. Roxea

    Mwanaume kujisifu kuwa na wanawake wengi ni ushamba tu kama ushamba mwingine

    Naomba nikupe msaada kutambua ulichoongea si sahihi ila kuna chembe za wivu kwa jinsia hii adimu. 1.Kuna tofauti kati ya kufuli inayofunguliwa na funguo nyingi na funguo inayofungua makufuli mengi. Wanaume ndo funguo sasa 2. Kuna theory fulani ivi inaitwa "law of use and missuse" ina support...
  5. Roxea

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Baba naniii ndo atakaefuata kutolewa na nguvu ya wananchi
  6. Roxea

    Fiesta Kufanyika Hadi Asubuhi....?

    Kama mkuu ametoa ruhusa maana yake nini?? Kunaruhusa ya kuvunja sheria inayotoka kwa mkuu ambaye sijui ndo mtunzi ama mmiliki ama aliye juu ya sheria iyo?? Nakumbuka maneno niliyasikia kutoka mahala "......the greatness of any community depends on its fidelity to the constitution and above all...
  7. Roxea

    Tofauti ya usaliti/kuchepuka kati ya mume na mke

    Mambo ya C&P[emoji12] [emoji12] [emoji12]
  8. Roxea

    Mtazamo wa kiuhandisi: Interchange ya Ubungo vs Jengo la PPF (TANESCO)

    Kwaiyo wewe unaona ni sahihi libomolewe??? Limejengwa kwa kodi za walala hoi afu lazima lijengwe tena kwa tozo zaidi kwa wananchi hawahawa ambao hawajui mchana wao utakuaje??? Walioahidiwa ajira na zinaletwa 1/8 walobaki wote 7/8 wako mtaani, ivi wewe unalipa kodi yeyote nchi hiii
  9. Roxea

    Jua linanipa sana nyege

    Njooo pm
  10. Roxea

    Dawa ya mwanamke mcharuko ndio hii

    Iyo kisawasawa ndo huwa aje embu tuelezeee bhasi mkuu nasisi tujifunze na kisha tufanikishe kurudisha iyo heshima yetu???
  11. Roxea

    Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Nadhani unapaswa kufanyiwa vipimo vya mifumo yako ya uzazi ili kujua upi upo complete, strong an full functioning then kutokea hapo ndo itafahamika.......japo ninachokijua nikua huwezi kuwa na system zote zikafanyakazi completely lazima moja wapo itakua weak or incomplete au zote zikawa partial
  12. Roxea

    Je, kila Waziri ana uwezo wa " kuiagiza" Takukuru au wengine wanapaswa kuiomba?!

    Idara chini ya wizara gani mkuuu???
  13. Roxea

    Mke wangu anapenda "kuvunjwa miguu" imekua changamoto kwenye familia yetu

    Mkuu pole sana ila kabla sijaendelea na issue yako.....nisaidie iyo staili mkuu ili ninusuru ndoa yangu
  14. Roxea

    Wanaume wengi hawajui kufanya mapenzi ila wanachofanya ni kubaka wapenzi wao

    Mimi nnavyojua haya mambo huwa yananoga zaidi yanapokua suprise na kwakweli naenjoy sanaaaa.........yani nikiwa najofanya niko busy na movie mara paaaaaa noma sana. Sijui wewe mleta uzi ulitaka maandalizi ya miezi mingapi?
  15. Roxea

    Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

    Ndo njia gani hiyo mkuu SRI ???
  16. Roxea

    Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

    Mtoa mada umechanganya madesi au ndo C&P???? Hapo umeongelea homa ya ini (hepatitis) ambayo hu present na jaundice au unjano kwa macho. Homa ya manjano (yellow fever) ni kitu ingine aisee. NOTE: Be very careful, hizi ni taaluma za watu waache wenye taaluma wafanye yao
Back
Top Bottom