Bila shaka ulihudhuria harusi ya binti yake iliyofanyika pale oysterbay katika ukumbi wa saint peters church...
Alikuwa mzee wa amani sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwa akili yangu naona alimaanisha Mh. Rais aongoze miaka 10 tu. Ambapo ikifika 2025 ndio kikomo chake...
Asije akapata tamaa ya kuongeza miaka mingine kumi...
Kwa kuwa Raisi Wangu ni msikivu, mpenda haki, amani na demokrasia ifikapo mwaka 2025 ataachia kiti kwa mwingine...
Na imani Kwa...
Wapinzani wameona mbali mno maana katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020 wapinzani walikuwa wanapoteza majimbo yao yote mbele ya CCM...
Kwa upande wangu naona CHADEMA wameangalia ugali wao mezani, na ni ya kutafuta suluhu kwa Mh. Rais ni janja yao ili chama kiendelee kubaki maana baada ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.