Search results

  1. S

    Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

    Mbona mwasema Lowasa yupo Mbeya... Mara Arusha... are you serious people??
  2. S

    Elections 2010 Lawrence masha, basil mramba, makongoro mahanga wapeta!!!!!!

    Mimi ni-mind sana hawa watu wanaoingia kwenye majadiliano bila kuwa makini. Nahisi kuna watu wanataka tu kuvuruga mtiririko wa mawazo na michango ya watu makini. Komeni kuchezea JF!!!
  3. S

    Elections 2010 Kuchakachua

    Matikeo si yanajulikana tayari?
  4. S

    Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

    Jamani wenye data za Chege tupatieni!!
  5. S

    Elections 2010 Magufuli CHATO na BULANDES Karagwe Chali!!!

    Jamani data muhimu kwenye kutoa taarifa.....!!! Weka namba tafadhali!!
  6. S

    CD za ngono ni dhambi kwenye ndoa?

    ...eti zinanichochea niwe na wanawake wengi, je wakuu sijapokonywa haki yangu? Mkuu your wife anakupenda sana. Kuna mambo ambayo kwa kupitia hizo CD umekuwa unamfanyia na ukawa umamgusa sana. Anafikiri jinsi ambavyo mwanamke mwingine anavyoweza kupata hicho unachompa. Ni wivu tu.... ni...
  7. S

    Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

    Hivi waziri wa miundombinu na wasaidizi wako pamoja na hiyo Tanroads mnakuwa wapi mpaka issue ya mkandarasi kuendelea kukwangua barabara inayopaswa kuwekwa lami kwa miezi 24 mpaka hili lijulikane kwenye ziara ya raisi? Raisi wetu una kazi kwelil kweli!!
  8. S

    Wabunge wetu na CV zao

    Kinachopelekea kukosekana kwa umakini ni nini? Ndiyo hiyo shule finyu au anachozungumzia mwenzangu ... kukosa uzalendo?
  9. S

    Saudi investors eye Tanzanian farmland

    Tumeliwa!
Back
Top Bottom