Search results

  1. B

    Mwakyembe hali tete Jimboni kwake Kyela

    Duuu mwakyembe ana hali mbaya sana kyela yaani ukitamka mwakyembe au ccm lazima utukanwe na unaweza kupigwa niko kyela kwa wiki sasa
  2. B

    Tiba mbadala ni bomu linalokaribia kulipuka

    Forever living nayo jee si ndi hao hao?
  3. B

    Samsung Plasma TV 51 inches bei nafuu

    Elimisha wote hapa hapa wengi tu hawajui hilo.
  4. B

    Samsung Plasma TV 51 inches bei nafuu

    Tv yangu nilinunua 2008 mpaka sasa natumia hiyo ,sijasikia kama kuna ges naomba nielimishwe
  5. B

    Uchawi ni kazi inayofanyika kwa usiri. Majini ndio mtaji mkubwa wa Wachawi

    Asante sana kwa kutujuza hayo.Tafadhali naomba uzungumzie pia na majini mahaba maana yanasumbua sana watu. u yake huwa ni kifo. Ni vigumu sana kumtambua mchawi, licha ya baadhi ya makabila kuwashuku akina mama wazee wenye macho mekundu kuwa ndio wachawi, lakini ukweli siyo...
  6. B

    Bi harusi akilia ukumbini siku ya harusi anamaanisha nini?

    huwa tunakumbuka wanandoa wengi jinsi wanavyopata shida kwenye ndoa zao, wanavyosumbuliwa na waume zao, kulala nje, kuwa na nyumba ndogo,jamani mateso ni mengi sana maana kuna msemo wanasema "wengine wanataka kutoka na wengine wanaingia "
  7. B

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Hakuna kishindikacho kwa mungu, tupige goti tumwombe mungu amsaidie apone.
Back
Top Bottom